Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimekula hadi nkavua shati
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimekula hadi nkavua shati
[emoji8][emoji8][emoji8]Jamani mlale salama wooote
Nzuriii wangu naomba unikomoe leoMr Lee habari
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Na nini tena jamaniNzuriii wangu naomba unikomoe leo
Hawajaweka story??Na nini tena jamani
Cjambo Sakayo nibakishie kisamvu kesho nakuja kukusalimiaTumoo nakusalimu
Ulale unono pia mpenz[emoji7] [emoji7]Jamani mlale salama wooote
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nzuriii wangu naomba unikomoe leo
IpooooHawajaweka story??
.....na ulipoamua kupata keki ukahama mazingira uwe freeNimekula hadi nkavua shati
Kumbe unakulaga kwa watu eeeh, si ulikatazwa weweCjambo Sakayo nibakishie kisamvu kesho nakuja kukusalimia
Binamu veeeep mbona sikuelewi
Ahahahhh......kwa kweli leo hata sijielewi kabisa. Ngoja nikija kwenye muziki nitafafanua kidogo
Binamu obe kipenzi naomba nyimbo ya mauwa sama ya mainchick na nyingine ya diana ft billnass komela unajua vile nakupenda tu mie nyimbo zinifikie mimi mwenyewe shunie mimi hapa nilipo [emoji7][emoji8]
Mmh....hesabu umepata, anko kaniambia nikudedicate wimbo kwenye kipengele cha muziki
Asante my dear!!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Ulale unono pia mpenz[emoji7] [emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124].....na ulipoamua kupata keki ukahama mazingira uwe free
![]()
Obe shkamoo