Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Binamu yangu kipenzi santee [emoji4][emoji7] nakupenda mimi
...asante, nashukuru aunt yangu. MF inakupenda sana na hasa mimi na BH (msalimie sana)
Binamu yangu kipenzi santee [emoji4][emoji7] nakupenda mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]Mama atakuja kufukua makaburi atakutana na ujumbe wake...asante, nashukuru aunt yangu. MF inakupenda sana na hasa mimi na BH (msalimie sana)
Honey wanguWapi kipenzi changu mimi
MmmhMmh nimeanza lini mm kutokukupenda tena na mbebez unae
Nakupenda wewe tetra wangu mimi peke yanguNani mbebez?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha, mbebez ndio Mume??
MmhDuh...jina zuri thou[emoji2] [emoji2]
Jaman me staki mumuite hivyo my king wanguHabari mbabez wa moneytalk
[emoji23] [emoji23] [emoji23].....nani mzee, au unataka kusema mimi ni mzee? Ngoja nimtafute anko Lyon Lee alete cheti changu cha kuzaliwa ,,ila sijui kama atakipata. Nilipotaka kwenda kupiga pasport ilibidi nikaape mahakamani
Narudia tena, mimi ni kijana sema nina mambo ya kizee
kipenzi mbona mnanitia presha lakiniNdoa yangu bado changa shunie
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]He he hakuna shida matofali ninayo mengi
VeeepMmmh
[emoji22] [emoji22] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Angalia na wewe usije kua tofali mojawapo[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Acha wivu wala presha kuwa na amani zotekipenzi mbona mnanitia presha lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mlevi alianguka kutoka 4th floor mpaka chini. Watu wakaja wakipanic wakamuuliza , "nini mbaya?" Akasema " sijui ata Mimi nimefika tu sahii" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwaelewi elewi nyieVeeep
utamu wa mapenzi yake nimeshaujua mwenzio, lazima niwe na wivuAcha wivu wala presha kuwa na amani zote
Kama hata mm unanionea wivu mmojawapo niliyekupa tetra sawa mamaSiwaelewi elewi nyie
utamu wa mapenzi yake nimeshaujua mwenzio, lazima niwe na wivu
Mmh mwenzangu......Kama hata mm unanionea wivu mmojawapo niliyekupa tetra sawa mama