Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa udhamini mnono wa shunie mimi binamu obe ukisoma nakushtaki
58b63dd7b9f20330b5c79b80b02668cd.jpg
0d827833513d1573dcaae798258356f1.jpg
ecb0de47268d459fe1b90cdf596dc53c.jpg
4b83d3b49cad555301aba750af0f5625.jpg
32208b8c92b678cb29359ada5b85f186.jpg
4d65e9d169e920c0f62546acf9aabd83.jpg
109623685a6fd32e49d42656bdc58381.jpg
4be51dd84fb0136c7a79800b7a114946.jpg
 
TUOMBE
Tunakushukuru Mungu muweza wa yote kwa kutufikisha siku hii ya leo.

Asante kwa Ajili ya Afya,Ulinzi, Nguvu na vyote ulivyotukirimia.
Asante kwa yote uliyotutendea na tunaomba toba pale ambapo hatukuenenda sawa na mapenzi yako kwa mawazo,maneno, matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali uturehemu Baba twakusihi.

Tunaomba utulinde mchana huu wa leo na wiki nzima.

Bariki kutoka na kuingia kwetu. Tupe leo mkate wa kila siku. Juma hili lote uwe kiongozi wetu.Tutakase kwa Damu ya Yesu,Sema Neno tupone maana wewe ni Uzima wetu,Jawabu la Maisha yetu latoka kwako,achilia Bidii,Utii,Nidhamu, Upole,kiasi na Uvumilivu pale tunapo kwazwa.
Tufundishe kupenda zaidi,kujali zaidi,kuthamini zaidi,kuchukulia mizigo ya wengine kwa upendo.

Wabariki wasafiri majini ,nchi kavu na angani waende na kurudi salama.
Ponya wagonjwa wote majumbani na mahospitalini,watie nguvu wote wanaopitia changamoto mbalimbali,wafariji wafiwa ,wajane,wagane yatima na Baba bariki kazi za mikono yetu.Wabariki wanafunzi wote walioko mashuleni waongoze katika mitihani yao yote wape kushinda Mfalme wa Amani na uwape mafanikio na kukutii wewe,wape afya ya mwili na roho pia.
Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.

SIKU NA WIKI NJEMA WAPENDWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom