Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Hahaha, kwani na wazee mnatumia?...mimi ndo hata emoji moja hamna. Yaani utafikiri nacheza puzzle gazetini
Hahaha, kwani na wazee mnatumia?...mimi ndo hata emoji moja hamna. Yaani utafikiri nacheza puzzle gazetini
Mwehu tena, hahahamwehu wewe
![]()
Mungu azidi kukuweka tu sakayo wangu sina cha kuishkuru jf zaidi ya kukupata wewe

watanitenga wote ila we huwezi nitenga hata mara moja nilipo upo unaweza hata pigana au kugombana kwa ajili yangu pale unapoona naonewa nakupenda sanaaaa
...mimi ndo hata emoji moja hamna. Yaani utafikiri nacheza puzzle gazetini




umeanza
Ni app...ni nini hii?
AhahahhhHahaha, kwani na wazee mnatumia?
Ahahahh unajijua na uchizi wakoMwehu tena, hahaha
Hahaha, kwani na wazee mnatumia?
Hmm, hahaha, wala hata sio, nayapenda tuu. Na unalijua hilo fika ndio maana huchoki kunitunuku.Ahahahh unajijua na uchizi wako
Ahahahhh
.....nani mzee, au unataka kusema mimi ni mzee? Ngoja nimtafute anko Lyon Lee alete cheti changu cha kuzaliwa ,,ila sijui kama atakipata. Nilipotaka kwenda kupiga pasport ilibidi nikaape mahakamani
Narudia tena, mimi ni kijana sema nina mambo ya kizee



Nilitegemea hili jibu
Hivi Tetra unayapenda toka moyoni najua matani yako tuHmm, hahaha, wala hata sio, nayapenda tuu. Na unalijua hilo fika ndio maana huchoki kunitunuku.
Thanks to you
...nakuangalia tu, nikiitwa mzee humu moyo wako unatulia kwa furaha utafikiri Dr Shika anaahidi kujenga flyover Kigamboni




UmejuajeeHahahaha...na shkamoo unazopokea kila leo. Nikajua wewe ni mkongwe kumbe bado una muda wa kutosha kula mema ya nnchi...teh teh teh.....nani mzee, au unataka kusema mimi ni mzee? Ngoja nimtafute anko Lyon Lee alete cheti changu cha kuzaliwa ,,ila sijui kama atakipata. Nilipotaka kwenda kupiga pasport ilibidi nikaape mahakamani
Narudia tena, mimi ni kijana sema nina mambo ya kizee
Mungu azidi kukuweka tu sakayo wangu sina cha kuishkuru jf zaidi ya kukupata wewewatanitenga wote ila we huwezi nitenga hata mara moja nilipo upo unaweza hata pigana au kugombana kwa ajili yangu pale unapoona naonewa nakupenda sanaaaa
Love you more sweetheart.... Wewe ni zaidi ya ndugu, mtu ambaye nimekuwa wa kwanza kukulilia na ukanielewa na ukanifariji!!! Love you babeMungu azidi kukuweka tu sakayo wangu sina cha kuishkuru jf zaidi ya kukupata wewewatanitenga wote ila we huwezi nitenga hata mara moja nilipo upo unaweza hata pigana au kugombana kwa ajili yangu pale unapoona naonewa nakupenda sanaaaa
Nilifanya matani lakini sasa niko addictedHivi Tetra unayapenda toka moyoni najua matani yako tu
Ni app
Love you more sweetheart.... Wewe ni zaidi ya ndugu, mtu ambaye nimekuwa wa kwanza kukulilia na ukanielewa na ukanifariji!!! Love you babe
AhahhhhhahHahahaha...na shkamoo unazopokea kila leo. Nikajua wewe ni mkongwe kumbe bado una muda wa kutosha kula mema ya nnchi...teh teh teh