Wapi umeipataaaaa...nitakosa picha ya aunt yangu kweli?
Namjua wapi mimi nimesema tu.....ha hahahahah! Hebu weka namba za huyo Shunie rapa nimpe mistari
Sijambo binamu shikamoo jaman...nakusalimia sana aunt yangu. Hujambo
Namshkuru Mungu sana hofu kwakoAsante shem ...umeamshwa salama
Niko poa kabisa ...leo hatupigi misele??Namshkuru Mungu sana hofu kwako
Ni mm ndio jana si uliongea wakati sakayo kaquote post yangu na ya shededeHivi ni wewe ?
Unaanza tu jaman nina salaam zako kutoka jfNianzie wapi
Limoyo limedondokewaa kiben 10Ni mm ndio jana si uliongea wakati sakayo kaquote post yangu na ya shedede
Yaan binamu huyu hata nimkute sehem kadondosha vitu vya watu hana hela akiii simlipii![]()
![]()
![]()
anko wako huyo
Ili nipigishwe pushap na kuruka vichura??Unaanza tu jaman nina salaam zako kutoka jf
Ni mimi ndio muhusikaSi alisema anamlenda sijui ujue ...
Ni wewe kwan make mm nilikua natania jana mm
Ulivo na huruma hivo ....huweziii utamsaidia na kasema anakuja kunywa juisYaan binamu huyu hata nimkute sehem kadondosha vitu vya watu hana hela akiii simlipii
Hivi hawa simba wapoje mo anaendaje yanga lakiniTunaendelea![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Leo hakuna misele kabisa jamanNiko poa kabisa ...leo hatupigi misele??
Sasa mama d magazeti si umeweka wewe mwenyewe ....unatuuliza tena kwa kuquoteHivi hawa simba wapoje mo anaendaje yanga lakini
Hapana jamanLimoyo limedondokewaa kiben 10
Yaan nina kisafari cha kupita mitaa ya juu hapo kwenuLeo hakuna misele kabisa jaman
Hawezi kukupigisha atazifurahi sana tuIli nipigishwe pushap na kuruka vichura??