Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]TUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa husna muba mpendwa wa Obe
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]TUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa husna muba mpendwa wa Obe
Wako bye, uko bye pia?!Mmeamkaje bandugu ba humu muko byee
Karibu asieeKapukuz mko poa?
Eti ee mi pia niko byeeWako bye, uko bye pia?!
Asante ndugu yanguKaribu asiee
*[emoji524]TUOMBE*
Mwenyezi Mungu Mtakatifu, Mfalme wa wafalme,Baba wa Milele,Mshauri wa Ajabu,Mungu mwenye Nguvu Asante kwa kutufikisha siku hii ya leo.
Tunakushukuru kwa sababu Upendo wako ni mkuu kwetu, Kwa sababu unatulinda na kutuongoza, Kwa sababu unatupigania, Kwa sababu Unaweza zote,Unajua yote,Upo kila mahali. Mungu wetu tunaomba usinyamaze kila tukwitapo sisi peke yetu hatuwezi.
Tupiganie katika kila Jambo,Tufundishe,tushauri na kuturudi tunapokukosea. Mungu bariki Afya,Kazi,kusudi,Uchumi na Imani zetu.
Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.
Demi you are missed..Asante ndugu yangu
Sio kweli bana, ungenitafuta!Demi you are missed..
Sikuwepo jukwaani pia na mimi..Sio kweli bana, ungenitafuta!
Shemela Habari..Eti ee mi pia niko byee
[emoji23][emoji23][emoji23] haya bana. Nashukuru kwa kunimissSikuwepo jukwaani pia na mimi..
Ila nilikumiss huko nilipokuwa..
Poa Shem mambo yakoShemela Habari..
[emoji3]yuko salama kabisaPouwa..
Mdogo wangu Lyon lee yuko salama?
Muda wa chai huu ujue..! Umeshaandaa Chai?[emoji3]yuko salama kabisa
Pouwa shemela[emoji23][emoji23][emoji23] haya bana. Nashukuru kwa kunimiss
Niko makini shemeji asikuambie mtu[emoji477][emoji506][emoji486][emoji525][emoji526]Muda wa chai huu ujue..! Umeshaandaa Chai?
[emoji3][emoji3][emoji3] watu watamkwibaaNiko makini shemeji asikuambie mtu[emoji477][emoji506][emoji486][emoji525][emoji526]