Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante mlisha kondoo wa Bwana.....
7114881060f5ce4c2b7fff3da2272daa.jpg
Bless U
 
Life is full of complicated
Ni kweli mkuu. Life is full of complications! Nimeiona picha hii nikafikiri kuhusu masaibu yaliyompata mpaka akaja kuzungumza na Mungu wake akiwa pekee. Na kwa jinsi alivyovaa sidhani kama alidhamiria kuja kanisani namna hiyo. Yote kwa yote Mungu ni mwema sana na haijalishi tumefanya nini, tukirudi kwake, Yeye hutukaribisha kwa mikono miwili na kutusamehe madhambi yetu. Neema yake yatosha !!!
 
MKE JEURI

(The Wife's Tyrant)

Sehemu Ya 31

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

Sasa wakati huo sheby akiwa kasimama na zaituni... Na zai alikuwa akilia mana alikuwa awe mume wake lakini kwa tamaa alijikuta anamsahau na kutokumbuka msaada aliompa...
"binafsi mimi nakutakia maisha mema na saidi wako... Ila kuwa makini sana, kama saidi nae utamchezea utakuwa kama dada yako Zainabu"
Aliongea kijana sheby kisha huyoo akaondoka zake.. Hata lile swala la kwanini aliandika ujumbe hakutaka kumuuliza, mana zaituni alikuwa akilia sana.. Na lawama zote alimshakizia shadi, mana ndio aliomshawishi kuingia kwenye ujinga na kumsahau sheby...... Zaituni aliingia katika gari huku akifuta machozi ya uchungu.... Sheby yeye alichukuwa toyo impeleke nyumbani mana walikuja umbali wa kilometa tatu hivi... Sheby alikuwa akiwahi kule nyumbani ili kuiwahi sherehe japo hapendi kuwepo kwenye sherehe hio...

Baada ya dakika kadhaa sheby anakaribia nyumbani kwake, alishangaa kuona wale omba omba wanatolewa nje ya geti tena walikiwa wakifukuzwa haswa.... Sheby alitoa macho kwa kitendo kile kilivyokuwa kikiendelea pale getini kwake.. Kijana alishuka kwenye pikipiki na kwenda mpaka getini kwake, na kukuta baadhi ya vipofu waliokuwa wakisukumwa na wengine wasioweza kutembea walitolewa kama maji taka.....
"heee hawa nao walialikwa na nani hawa laana kum"

ENDELEA.........

Kijana akiwa katika toyo kwa mbaali aliweza kushuhudia wale watu ambao ni omba omba na wana matatizo yao tofauti tofauti katika miili yao,.. Kutokana na huruma za kijana huyo watu wale waliweza kuelekezwa sehemu ya kula baada ya wao kudai wana njaa kwa wakati huo, kijana huyo aliwaamuru waende nyumbani kwake kuna sherehe ya mkewe kwa kukuza ujauzito wake, watu wale walikubaliana na kauli ya kijana huyo na wao kufunga safari na pia aliwaahidi kuwa naye yupo nyuma yao, lakini kwa bahati mbaya alikutana na zai, mchumba wake mtarajiwa.. Walichukuana na zai na kuwaacha wale watu wakienda wenyewe kule... Sasa wakati anarudi akiwa katika usafiri wa pikipiki alishangaa kuona wale watu walikuwa wakifukuzwa tena wengine walikuwa wakipigwa virungu na mlinzi,... Sheby alitamani kuruka kutoka juu ya pikipiki lakini hakuweza mpaka pale aliposhushwa kwa utaratibu mzuri..
Baada ya kushuka kwenye pikipiki alikwenda mpaka getini kwake, na kukuta baadhi ya vipofu waliokuwa wakisukumwa na wengine wasioweza kutembea walitolewa kama maji taka.....
"heee hawa nao walialikwa na nani hawa laana kum"
Ilitoka sauti kwa ndani ya nyumba ya sheby, na wakati huo sheby alitamani sana kuiona hio sura ya huyo mtu alio ongea ujinga huo...
"we, ebu acha kupiga hawa watu"
Aliongea sheby huku akifungua geti ili amwone yule aliosema hawa watu ni laana kum,..... Laaa Haulaaa sheby alishindwa kusema lolote baada ya kukuta alioongea hivyo alikuwa ni mama mkwe wake, yaani mama yake na mwai
"shkamoo mama"
"Marahaba,... Mbona huku ndani huonekani baba"
Aliongea mama mkwe huku akimtaka aachane na hawa watu aingie ndani,..
"nipo mama na nakuja sasa hivi"
Ndani akina rose na mary wapo wote katika sherehe ya rafiki yao, na hawajui kama sheby huyo boss wao ndio mwenye huyo mke.... Lakini huezi amini kutolewa kwa vipofu wale kulimfanya kijana huyo aache kuingia ndani na kuanza kudili na wale watu
"baba achana na hao watu watakusumbua tu"
"mama... Mimi ni mtu wa watu, naomba nikawapatie chakula hotelini, mana ninyi mko tayari kumwaga chalula kuliko kuwapa watu hawa"
"sio hivyo baba... Lakini si unajua waalikwa wenu walivyo wa heshma, hivyo tusingeweza kuwaruhusu hawa waingie"
Aliongea mama huyo na kumfanya sheby kutomsikiliza kwa lolote,
"Twendeni ndugu zangu, wamekataa na chakula chao"
Sheby aliondoka na watu wake mpaka kwenye hoteli moja hivi
"he he he he wale wanaenda wapi wale wazuieni"
Aliongea mmoja kati ya wahudumu waliopo katika hoteli hio,...
"weeeeee, weka rungu lako pembeni we mshenzi nini... Ivi nyie, hawa sio binaadamu hawa, hawa ni mambwa kwani???... Nawauliza hawa sio watuuuuuuuu"
Watu wote kimya,...
"lakini ndugu"
"hakuna cha ndugu hapa.... Kwa mfano ni wewe afu ndio unatengwa kiasi hiki utajiskia vipi, na hapo ulipo tu ni muhudumu je ungekuwa tajiri ungelikuwaje wewe... Mimi nalipia bili yao yote waache wale wanavyotaka... Wape makuku kuku kila kitu wanachotaka nitalipa mimi"
Watu wote kimya, wahudumu walianza kuchangamka na kuweka viti vizuri,.. Walikaa sehemu moja wao na kijana sheby,.. Kila mteja akija anashangaa jamaa kakaa na hawa omba omba wenye matatizo tofauti tofauti katika miili yao,.. Wengine walemavu wa miguu wengine hawana macho ni vipofu wengine hawana hata vidole, yaani ilikuwa ni huruma iliojitosheleza kiukwe, lakini tunashangaa sana baadhi ya watu kutowajali watu kama hawa,.... Ukumbuke leo wewe ni mzima lakini huijui kesho yako itakuwaje, mpende binadamu mwenzio, kama huna huna tu na Mwenyezi Mungu anajua huna... Lakini sio kuwachukia na kuwaona kituko,... KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA sasa kwanini leo umuone kilema au kipofu kama taka taka kwako.......
Hoteli hio ilikuwa na ukimya wa halo ya juu sana mana kila tajiri akitaka kuingia anasita kutokana na watu waliokuwa wanakula pale,... Walichukuwa lisaa lizima mana kuna wengine walikuwa wanakula kwa hisia, hususan vipofu,... Baada ya lisaa limoja kupita walimaliza na kila mmoja alishiba haswa kwa siku hio
"ndio, hata siku moja moja na wao waonje radha ya maisha, sio wasikie harufu tu"
Aliongea sheby na kuwafanya baadhi ya watu wacheke kwa maneno yake
"haya we muhudumu nadaiwa shilingi ngapi"
"yule kala kuku mzima na yule kala ku... "
"ah ah ah... Sikusema utaje walichokula, waote najua wamekula makuku mazima mazima na misoseji kibao... Mimi nataka gharama tu achana na vitu walivyokula"
"ni laki moja na nusu"
"enheeee hapo sawa sasa... Pesa kidogo tu unataka kuliiia"
Sheby alitoa waleti na kulipia bili ya chakula cha watu hao wapatao 20, waliokuwa wakiomba sehemu moja mana kila mmoja na riziki yake....

Walitoka pale taaratibu mpaka pale kwenye eneo lao wanaloombea pesa
"jamani ndugu zangu si mumeshima au kuna mtu ana njaa turudi tena"
"hapana baba, tunakushukuru"
Maskini ya mungu sheby aliwaahidi kuwapa pesa, baada ya kula, lakini wenyewe walisahau kutokana na hisani ya kupata mlo mmoja tu uliowafanya kujijua kuwa na wao wana uwezo wa kula makuku kama wao
"sasa nataka niwapati hata elfu kumi kumi kila mmoja, mana bize yangu mimi aipiti hapa kila siku"
Aliongea hivyo kijana sheby huku akitoa noti ya elfu kumi na kumkabidhi kila mmoja note yake,.. Ili gharimu kiasi cha laki mbili lakini sheby hajali kutoa mana nao ni binaadamu.... Laki mbili jumlisha laki moja na nusu... Ni upendo wa hali ya juu, kijana sheby anataka kuvunja ule usemi usemao TAJIRI NI VIGUMU KUINGIA KWENYE TUNDU LA SINDANO neno hilo likiwa na maana kubwa sana katika dunia hiiiiii.....
"jamani ndugu zangu tutaonana siku nyingine"
Aliongea kijana sheby huku akipiga hatua na kuondoka zake....

Wakati huo huku nyumbani kwake sherehe imekwisha na tayari watu walikuwa wakiondoka,... Wale watu wa jirani ndio waliobakia kwa ajili ya kufanya fanya usafi, wakati huo akina rose ndio wanapanda gari la mwax. X i, na mwai ndio aliokuwa dereva wa gari hio, anawapeleka rafiki zake,..... Sasa wakiwa barabarani walipishana na sheby bila kumjua, lakini mwai yeye kamuona mume wake...
"baba tifa huyo apo"
Aliwaonyesha rafiki zake lakini hawajaona kwasabu alionyesha gari ikiwa ndio inampita,..
"yupo wapi"
"aaahhhh keshapita.... But msijali mtakuja kumuona tu"
Aliongea mwai kitendo kilichowashangaza akina rose,...
"lakini dada mwai, now nakuona kama umepunguza ukali juu yake"
Aliuliza mary huku wakitamani jibu toka kwa mwai
"ni kweli mary... Yaani toka siku ile nimelala nae Kimapenzi,.. Kiukweli nilianza kumueshim kidogo kutoka pale, na nilitamani nilale nae kila siku lakini sasa hataki"
"si utimie ile njia ya mganga"
"kule kwa mganga nilikwenda, lakini akasema nilikosea mana nilitaka dawa ya siku moja.. Nami sikutaka kuendelea na sheby kwasababu simpendi,.. Lakini utamu wake, rose we ni mkubwa mwenzangu, kiukwe kale katoto ni katamu kwenye mapenzi... Sijapata picha.. Na licha ya hivyo mpaka sasa nafsi inanisuta niitoe hii mimba mana nitakuwa namuonea mume wangu"
Akina rose walishangaa sana kuskia kauli ya mwai,...
"kwahio unataka kusema kwa sasa unamjali"
"nilikuwa staki kupika lakini sasa hivi napika nyumbani na yeye pia anakula japo kishingo upande tu"
"kambembeleze mganga"
"rose, Mganga kasema mizimu imegoma mana siku ile nilitaka dawa ya siku moja tu, tena nikaulizwa mara mbili mbili unataka dawa ya siku ngapi nikakazania dawa ya siku moja mana sikua nataka kufanya mapenzi na sheby wa siku zote, ila kwa utamu nilioupata... Waaalahi vile natamani hata leo nikirudi nimpe anifurahi mie mkewe"
"Heheheeeeeeeee haaaalooooo.... Eti leo ndio. Unajua umuhimu wa mume.. Ulimchezea mwenyewe"
"lakini sio mimi tu rose.. Hata yeye hakuwa akinipenda na hata mimi sikuwa nikimpenda... Na hata hii mimba natamani niitoe eti"
"we... Weee... We... Mwai usijaribu huo ujinga, hii mimba imeshakuwa kubwa, ukiitoa tu utakufa wewe,.. Jikaze uzae mtoto mpe baba yake wa kweli, we rudi kwa mumeo"
"heeeeeeeee... Na familia yake itanichukulia vipi mtoto sio wao"
"hapo kazi unayo, na hio ndio kero ya kuoana bila kupendana"
Rose aliongea hivyo huku wakikaribia kufika nyumbani,....

Sasa huku nyumbani sheby anarudi anakuta watu wamesha sambaratika kila mtu kwao waliobakia ni wachache tu,...
Sheby kaingia na kumkuta mlinzi pale ndani
"ivi nani alikupa ruksa ya kuwatimua wale watu"
"ni boss ndio kasema niwatoe, na wakikataa niwapige virungu"
"nawe ukawa unawatandika haswa si ndio eee"
"ni amli kutoka kwa boss"
"Oooohhhh sawa, ni kutoka kwa boss eee"
Sheby aliachana na mlinzi kisha akaingia zake ndani, wala hakutaka kujua watu waliobaki katika jukwaa ambao ni watu wa karibu tu,..
"baba mkwe"
Aliita mama yake mwai na kumfanya sheby atoke,
"naam mama"
"wale watu wapo wapi,... Chakula kimebaki kinataka kumwagwa... Waite waje wale.. Chakula Kile pale chini kinadorola na nzi t
 
Ni kweli mkuu. Life is full of complications! Nimeiona picha hii nikafikiri kuhusu masaibu yaliyompata mpaka akaja kuzungumza na Mungu wake akiwa pekee. Na kwa jinsi alivyovaa sidhani kama alidhamiria kuja kanisani namna hiyo. Yote kwa yote Mungu ni mwema sana na haijalishi tumefanya nini, tukirudi kwake, Yeye hutukaribisha kwa mikono miwili na kutusamehe madhambi yetu. Neema yake yatosha !!!
His grace is sufficient

2 Corinthians 12:8-9

..and he said unto me my grace is sufficient for thee :for my strength is made perfect in weakness..

8.nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili linitoke

9.Lakini akaniambia "Neema yangu yatosha kwa ajili yakomaana uwezo hukamilishwa zaidi katika udhaifu basi ni radhi kabisa kujivunia udhaifu wangu ili uwezo wake Kristo ukae juu yangu..
 
MKE JEURI

(The Wife's Tyrant)

Sehemu Ya 32

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp


Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

"Heheheeeeeeeee haaaalooooo.... Eti leo ndio. Unajua umuhimu wa mume.. Ulimchezea mwenyewe"
"lakini sio mimi tu rose.. Hata yeye hakuwa akinipenda na hata mimi sikuwa nikimpenda... Na hata hii mimba natamani niitoe eti"
"we... Weee... We... Mwai usijaribu huo ujinga, hii mimba imeshakuwa kubwa, ukiitoa tu utakufa wewe,.. Jikaze uzae mtoto mpe baba yake wa kweli, we rudi kwa mumeo"
"heeeeeeeee... Na familia yake itanichukulia vipi mtoto sio wao"
"hapo kazi unayo, na hio ndio kero ya kuoana bila kupendana"
Rose aliongea hivyo huku wakikaribia kufika nyumbani,....

Sasa huku nyumbani sheby anarudi anakuta watu wamesha sambaratika kila mtu kwao waliobakia ni wachache tu,...
Sheby kaingia na kumkuta mlinzi pale ndani
"ivi nani alikupa ruksa ya kuwatimua wale watu"
"ni boss ndio kasema niwatoe, na wakikataa niwapige virungu"
"nawe ukawa unawatandika haswa si ndio eee"
"ni amli kutoka kwa boss"
"Oooohhhh sawa, ni kutoka kwa boss eee"
Sheby aliachana na mlinzi kisha akaingia zake ndani, wala hakutaka kujua watu waliobaki katika jukwaa ambao ni watu wa karibu tu,..
"baba mkwe"
Aliita mama yake mwai na kumfanya sheby atoke,
"naam mama"
"wale watu wapo wapi,... Chakula kimebaki kinataka kumwagwa... Waite waje wale.. Chakula Kile pale chini kinadorola na nzi tu"

ENDELEA........

Kiukweli kuna watu wanashindwa kujali watu wengine ambao wana shida kuliko wao,.. Kuna ile kauli isemayo kuwa.. ALIESHIBA HAMKUMBUKI MWENYE NJAA ni usemi wa kweli na ulitukuzwa haswa, siwezi kuamini kwamba hata vilema nao mnawanyanyasa kiasi hiki,.. Kijana aliokuwa na huruma aliweza kuwaonea huruma omba omba waliokuwemo eneo hilo,... Watu hao walipewa mualiko kutoka kwa kijana sheby, lakini mbaya zaidi ni kwamba watu hao waliweza kufukuzwa kama mbwa kwamba hawastahili kuingia katika sherehe hizo mana wengi walikuwa vipofu wengine vilema wa miguu, wengine walikuwa hawana hata vidole.... Walinzi wa jirani wakishirikiana na wa nyumba husika pamoja na mama mkwe na wengine walifanikiwa kuwatoa watu hao kitokana na kwamba waalikwa walioalikwa katika sherehe hio ni wale wenye fedha kama wao,.. Kijana alipokuta hali hio hakutaka kubishana nao, aliwachukuwa watu wake na kuwapeleka katika hoteli ya gharama na kuwapa chakula kama alivyotaka...

Sasa kijana sheby baada ya kufanya hayo alirudi nyumbani.. Lakini ile anaingia tu anakutana na mama mkwe wake mlangoni
"baba mkwe"
Aliita mama yake mwai na kumfanya sheby atoke,
"naam mama"
"wale watu wapo wapi,... Chakula kimebaki kinataka kumwagwa... Waite waje wale.. Chakula Kile pale chini kinadorola na nzi tu"
Sheby alishikwa na hasira za ghafla huku akiwa kakunja sura,...
"wameshakula"
Sheby alijikaza kujibu vizuri japo ndani yake alikuwa na hasira sana
"lakini chakula kipo baba"
"ivi nikuulize mama"
"uliza tu baba"
"ivi wale ni watu au ni wanyama"
"kwanini uulize hivyo baba"
"ukinijibu ndio tutakwenda sawa"
"aahh ndio wale ni watu pia"
"sasa kwanini mumewafukuza... Au wale hawakustahili kula..... Haya tayari wameshakula na wameshiba vizuri tu... Mwageni hicho chakula kama mlivyotaka kumwaga"
Sheby aliongea hivyo kisha akaingia ndani, mama mkwe kabaki hapo nje kashika safria yake...

Tukija huku kwa akina rose baada ya kufika nyumbani, Mwai alitaka kupelekwa tena kwa mganga...
"we si ulisema imeenda wewe"
"ndio.... Ila huenda ukiongea nae atakubali"
"kama alikukataa basi... Mana siku ile hata mimi nakumbuka uliulizwa mara mbili mbili unataka dawa ya siku ngapi ukasema wataka ya siku moja... Sasa tufanyeje... Basi imekwisha hio"
"rose usiseme hivyo"
"haya twende basi ili usinione mbaya"
Rose aliamua kusema hivyo kwa hasira mana ni usumbufu wa hali ya juu kwao,... Walipanda gari kisha hao wakaenda kwa mganga ikiwa bado ni mapemba sana....
"karibuni, karibuni, karibuni"
Ni sauti ya mganga aliokuwa anawaita wageni wake.... Rose na mwai waliingia hapo ndani na kuketi katika mikeka
"mumerudi tena"
Aliongea mganga huku akiongeza mbwembwe zake za uganga....
"ndio babu.. Tuseidie tena ile dawa"
"mama... Nilikwambia haiwezekani, yaani mizimu imefunga milango juu yako Mana ulitaka ya siku moja tu"
"kwahio hakuna njia nyingine mganga"
"kiukweli hakuna.. Na sio kwangu tu, hata ukienda kwa mwingine haiwezekani, labda udanganywe tu"
Mganga aliongea hivyo huku akikusanya mikoba yake..

BAADA YA SIKU HIO KUPITA

Tukija huku ofisini kwa kijana sheby, akiwa anaxendelea na kazi yake ya kufuatilia mafaili ya kampuni yao..
"boss, boss mambo vp boss"
Alikuwa ni saidi akija kwa mbwembwe na furaha nyingi sana
"poa nambie"
"safi tu... Ebwana jana naskia kwako kulikuwa na kasherehe kadogo hivi"
"yes... Aaahhh si unajua wanawake hawa bwana kwa sherehe hawajambo"
"kiukweli na mimi nataka nioe, nami nile raha kama wewe"
Sheby alikuwa anajua mke anaemuoa ila hajui kama alikuwa demu wa sheby, japp sheby hajawahi kulala na zaituni Kimapenz...
"hivi Kwa mfano mkeo kawa kipofu inakuwaje"
"aaaaahhhhh bosiiiii? mbona unaniombea mabaya tena"
"amnaaa... Mi nakuuliza tu yani kwa mfano tu"
"sasa nitaoaje mwanamke kipofu boss"
"kwaio utamuacha kama akiwa kipofu"
"lazima nifanye hivyo, mana nitaishi nae vipi sasa"
Sheby alicheka ndani kwa ndani bila saidi kujua, mana zai anaetaka kumuoa alikuwa kipofu....
"lakini si umempenda kuwa mkeo"
"ndio tena nampenda sana yule mtoto... Nampenda mnoooo"
Ghafla mlango wa kuingia mlango wa kuingilia huku ofisini kwa sheby uligongwa kuashiria kuna mgeni
"karibu"
Aliongea sheby huku mlango ukifunguliwa....
"saidi una mgeni wako huku nje"
Alikuwa ni Secretary ndie alieingia na kumtaka saidi atoke kwa ajili ya mgeni wake,... Alipotoka tu saidi, rose nae huyo kaja na documents fulani hivi....
"boss mambo"
"poa"
Rose alitupa zile documents mezani kisha akamrukia sheby.... Kumbe miezi miwili iliyopita rose alifanikiwa kumteka sheby kimapenzi, na mpaka sasa hivi tayari keshakuwa mpenzi wake kama mchepuko wake.... Kilichokuwa kikisikika hapo ni midomo yao iliokuwa ikivutana kwa ndimi zao...
"mmmhhh.... Uhhhhhhnnnnn"
Rose alikuwa akikibinua kiuno chake na kalio lake lainiii liliomsisimua, sheby nae kwa hamu hakujali kama hapo walipo palikuwa ni ofisini,... Zakaria wa sheby kaanza kuleta tabu ndani ya boxer
"baby, unanigusa na nini"
Aliongea rose huku hisia za mapenzi zikiwa zimemjaa katika kifua chake,.. Na sheby na hivyo hivyo, na ndio maana hakuna aliekumbuka kuwa hapo ni ofisini panahitaji heshima,.. Rose ni mtoto wa mjini anajua ni jinsi gani ataweza kumhendo mtoto wa tajiri kama huyu, ulimi wa rose ulikuwa ukisambaa kila kona ya mwili wa sheby,... Yaani kijana wa watu alikuwa kulala sio kulala, kusinzia sio kusinzia... Kifupi alikuwa akipata raha ya kipekeee mno,.. Rose alijaaliwa kaumbo ka uchokozi.. Lakini mary ni zaidi, mary sura anayo umbo analo... Na hata rose analijua hilo... Kiti cha sheby kilikiwa ni cha kulala, sijui rose aligusa wapi kile kiti kikawa kama kitanda, japokuwa hapo hapo ofisini kuna chumba cha kupumzikia kama ukijiskia kupumzika.. Rose alivaa kimini sketi cha suti.. Sheby alishangaa chupi ya rose ipo mezani.. Kitendo cha kuona chupi tu kimekuwa kero kwa sheby... Aliingiza mkono na kugundua rose hakuwa hata na chupi.. Hajakaa vizuri mara koti la suti linatolewa, bado wamesahau kiwa hapo walipo ni ofisini na hao ni mfanyakazi kwa boss...

Sasa huku kwenye ofisi ya akina rose kuna madocuments yameletwa yakatiliwe saini na mzee, ambae ni baba yake na sheby,... Mary aliamka na kwenda ofisini kwa mzee rashidi na kumpatia files hizo..
"boss kina yule mteja kutoka UN ameleta zile documents za pesa tulizokuwa tunamdai"
"aaahhhh mr Rajabu"
"ndio boss"
"ivi tulikuwa tunamdai kiasi gani"
"aahh hapa imeandikwa milioni mia moja na hamsini (Milioni 150)"
"aaahhh mary... Mimi nilishasema pesa ndogo ndogo kama hizo mpatie Sharbiny afatilie... Mimi nileteeni wale wenye kuanzia milioni 500 kwenda mbele sio milioni 100"
"Samahani boss... Nilijua boss sheby atakuwa bize, mana alipelekewa kazi na rose muda sio mrefu"
"mpelekee atajua aanze ipi amalize ipi"
Kitendo cha mary kuambiwa apeleke documents za benki kule ofisini kwa sheby kwake ilikuwa ni furaha sana katima moyo wake....
"leo lazima nionyeshe hisia zangu kwake"
Aliongea Mary huku akiruka ruka kwa furaha ya hali ya juu,... Mary alishusha sketi yake vizuri mana haitaji kumtaga kwa lolote lile, ispokuwa ampende mwenyewe na sio kumtamani kimapenzi... Mary akiwa kafika mlangoni moyo ukiwa unamwenda mbio kwa furaha ya kuja kwa sheby akiwa peke yake, mana kawaida anaepeleka documents ni rose, sasa muda huo rose alikuwa hayupo, hivyo mary akachukiwa nafasi hio, sasa ndio mana anajiskia raha sana....
"sheby naomba unielewe hata kwa macho yangu tu"
Mary aliongea hivyo huku akikiminya kitasa cha mlango,.. Tena kwa wenge aliokuwa nalo la kukutana na sheby, hata hodi hakupiga kwa furaha alionayo kwa siku ya l
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom