Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shem sina cha kusema zaidi kukushukuru kwa keki na suprises zako kwa leo Mungu azidi kukutunza na kukulinda shem lake ....shuny le boss asante mmeninyoosha na baba d ....
78140608ad229a19c805c2e9f08b410f.jpg
tunakupenda jaman shem
Asante shem
 
Baba katika jina la Yesu kristo.Asante kwa neema yako ya ajabu katika maisha yetu.asante kwa upendo na fadhili zako nyingi mnoo katika maisha yetu.
Natubu kwa ajili ya kila mmoja wetu maomba utusamehe .
Baba naomba ulinzi wako .usiku huu .Damu ya Yesu itufunike tulale salama .naomba na kaumini kwa jina la Yesu kristo

Amen
 
Ni kweli mkuu. Life is full of complications! Nimeiona picha hii nikafikiri kuhusu masaibu yaliyompata mpaka akaja kuzungumza na Mungu wake akiwa pekee. Na kwa jinsi alivyovaa sidhani kama alidhamiria kuja kanisani namna hiyo. Yote kwa yote Mungu ni mwema sana na haijalishi tumefanya nini, tukirudi kwake, Yeye hutukaribisha kwa mikono miwili na kutusamehe madhambi yetu. Neema yake yatosha !!!
Hakika mkuu

Nyagei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom