Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mwambie MUNGU maneno haya
"Ee MUNGU muumba wangu na kimbilio langu, nashukuru kwa kunilinda usiku kucha na kuniamsha mzima asubuhi hii ya leo.Sina cha kukulipa ila nasema asante sana.Nakuomba uniongoze katika siku hii ya leo,ukamwage baraka zako tele ukanipe kibali machoni pa kila mtu uniepushe na kila maovu nipe kushinda kwa kila jambo Unapowazuru wengine usinipite kwani wewe ndiye kimbilio langu na msaada wangu wakati wa shida.AMENI"
>Asubuhi njema.
Amen, Asante kwa neno
 
IMG-20171115-WA0003.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom