Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Sema ushemejii upoSawa mwambie mndali anamsalimia maana mi nawapenda shemeji zangu
Sema ushemejii upoSawa mwambie mndali anamsalimia maana mi nawapenda shemeji zangu
Hapana hawezi mwambie hakuna safari isiyo kuwa na kona milima mabonde na madaraja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mcute wangu mtamkimbizaaa
Ulivomaliza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana hawezi mwambie hakuna safari isiyo kuwa na kona milima mabonde na madaraja
Umwambie kuwa hii safari ndo tunaianza awe mvumilivu maana akiwasikiliza walio shindwa nae atashindwa[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ushemeji upo sana tu na umwambie aniheshimu kama shemeji yake mkubwaSema ushemejii upo
Ayo ndo manenoUshemeji upo sana tu na umwambie aniheshimu kama shemeji yake mkubwa
Mwambie nipo kwaajiri ya kusuruhisha na kushauriAyo ndo maneno
[emoji16][emoji16]hapana nasema tuuUnahukumu
Umependaa eeeeh[emoji124] [emoji124] [emoji124]Ulivomaliza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baby tukivuka majungu ya humu ndoa naiona kabisaaaa[emoji16][emoji16]hapana nasema tuu
Sina nenoUmependaa eeeeh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Shemeji nimekukaribisha ila unaonekana huna amani nini tatizo[emoji16][emoji16]hapana nasema tuu
Ongea naeShemeji nimekukaribisha ila unaonekana huna amani nini tatizo
Nikunong'oneze?Sina neno
Yap mkuuNikunong'oneze?
Inaonekana anko wako kamvurugaOngea nae
Kabisaa bbyBaby tukivuka majungu ya humu ndoa naiona kabisaaaa
Anko na kibwengo wakeInaonekana anko wako kamvuruga
Mwambie maisha ni ligi isiyo kuwa na mshindi yampasa ajue moyo wake unanguvu kuliko majungu ya........[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yap mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3]Aghh kuna vimambo tu havikuwa sawa shemej yanguShemeji nimekukaribisha ila unaonekana huna amani nini tatizo
Sawa mvumilie ndo anko wenuAnko na kibwengo wake