mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Baby malizana kwanza na tumosa afu nitakujibu![]()
![]()
Hahahaaaaaa
Halafu Tamu kweli Jana nimekesha
Baby malizana kwanza na tumosa afu nitakujibu![]()
![]()
Inamaaan kwamba labda mtu akiw anatumia WhatsApp unwachajMKE JEURI
(The Wife's Tyrant)
Sehemu Ya 25
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Simulizi hii inakujia kwa udhamini mkubwa wa #km_music
#KM _MUSIC INAWAKARIBISHA WASANII WOTE KUFANYA KAZI NAO NA WANAFANYA AINA ZOTE ZA MUZIKI.PIA KAMA UKO MKOANI NA UNAHITAJI BEAT KALI WASILIANA NAO KWA SIMU NA +255743761268
#kmmusic_____music for life
Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←
"vipi umeshampatia?"
"ndio mzee, tayari nimeshampa"
"yes, huo ndio upendo wa mke na mume, sio kukwaruzana kwa kitu kidoogo, milioni 60 ni kitu gani kwetu"
Sheby alinyamaza tu na kumwacha baba yake aongee tu
"tafadhali sana, usimkorofishe tena, mpe kile anachokita yani chochote kile mpe"
"sawa mzee"
Sheby alikuwa akijibu tu sawa lakini haikuwa ikiingia akilini mwake
"kwahio hata akinikosea kama mume nimuache tu"
"ndio.. Afu kwanza mwanamke hapigwagi"
"ok sawa mzee"
Kijana sheby alikuwa na hasira sana mpaka hakuwa na pointi ya kuingea zaidi ya kukubali tu...
KUMBUKUMBU YA WIKI MBILI ZILIZOPITA BAADA YA KUOANA INAISHIA HAPO
Sasa akiwa bado yupo ofisini ghafla saidi kaingia na furaha kubwa sana huku akiwa anacheeka sana
"Hakiyamungu vile boss mi naoa... Yaani mtoto kakubali nimuoe eti"
"sawa we oa tu, mana ndoa za siku hizi basi tu"
"acha kunitisha wewe... Au unahisi naoa oa tu hovyo,.. Ngoja nikuonyeshe mtoto zaituni"
Sheby alishtuka kuskia hilo jina japo zaituni ni wengi lakini mhhhh,...
"hebu huyo zaituni... "
"ngojaaa... Mtoto nilikuwa nae kitandani huyu hapa"
ENDELEA........
Saidi ni mfanyakazi katika kampuni ya akina sheby, lakini katika pitapita zake aliweza kukutana na zaituni huyo huyo wa sheby, lakini saidi yeye hajui kama zaituni ni mchumba wa sheby,.. Zai alikutana na saidi katika moja ya starehe huko mjini kati ambako alipelekwa na shadi,.. Na saidi nae hakufanya makosa baada ya kukutana na mtoto mpole mzuri mwenye shepu amaizing,.. Saida ni mwanaume ambae hajaoa na anahitaji mke... Hivyo aliona kuchelewa chelewa huenda asikute mwana si wake....
Jana ikiwa ni siku waliolala usiku kucha na kuongea mengi sana baina ya saidi na zai... Sasa leo asubuhi saidi akiwa na furaha ya kupelekwa kwa wazazi wa zaituni ili kwenda kutambulishwa zaidi... Saidi kaja ofisini kwa boss wake ambaye ni kijana sheby,...
"hebu huyo zaituni... "
"ngojaaa... Mtoto nilikuwa nae kitandani huyu hapa"
Saidi alikuwa akipekuwa simu yake na kuziona picha walizopiga jana usiku,... Lakini kabla hajazionyesha ghafla baba yake sheby kamuita saidi
"we saidi we"
"naam boss"
"kazi hujamaliza huki umekuja kufanya nini"
Saidi alitoka mbio mpaka ofisini kwake, lakini hakuweza kumwonyesha sheby zile picha, hivyo sheby hakuona kitu,....
"vipi mbona kama unaumwa hivi"
Mzee huyo alimuuliza kijana wake huku akivuta kiti na kukaa,.. Wakati huo sheby anawaza tu ilikuwaje mpaka akafanya mapenzi na mke wake, na wakati hampendi hata kidogo..... Basi sheby alikaa na baba yake hapo waliongea mengi mengi
Sasa Tukija huku nyumbani kwa akina sheby ambako ni kwao kule kwa wazazi wake, tunamkuta rehema akiwa na mama yake... Lakini ghafla simu ya mama sheby iliita... Kuangalia namba ilikuwa ni namba ya mama yake na mwai
"haloo habari yako mama mwai"
"salama tu mama sheby hali zenu huko"
"nzuri tu, haya kulikoni simu mchana huu"
"mwenzangu nimepata taarifa mwanao kainasa"
"nini?"
"mwenzangu watoto na nguvu zao, miezi mitatu tu kitu tayari kimejisoma"
"una maana gani we mama mwai"
Mama sheby alishawahi kuambiwa na rehema kuwa mwai ana mimba lakini hakutaka kuamini kwasababu sheby alishawahi kumwambia mama yake ukweli kuwa hajawahi kufanya mapenzi na mke wake,... Sasa leo anadhibitishiwa na mama mkwe mwenzie, kuwa watoto wameshanasana
"ina maana we hujui"
"akaaaaa sina taarifa mama"
"basi jiandae kuitwa bibi"
"what??????"
"ndio.. Yaani mimi natamani hata ajifungue sasa hivi"
"haya mama mwai hata mimi nataka iwe hivyo"
Mama sheby aliongea hivyo ili asionekane kama hapendi ndoa hio,
"haya bwana tuwaombee watoto wetu"
"haya mama mwai"
Simu ilikata huku rehema akiwa skio juu ili kujua kilichojiri
"umeamini kuwa mwanao alikudanya ee"
"kaa kimya, mimi najua sheby hawezi kunidanganya hata mara moja"
"sawa mama ila ukweli ndio huo, mke wa sheby ana mimba"
"sio yake"
"sasa kivipi isiwe yake na wakati ni mke wake"
"afu we mtoto mbina unamtete sana huyo mwanamke"
"lakini mama"
"hakuna cha lakini"
Mama sheby alikuwa mkali kila alipotajiwa kuhusu mwanamke huyo ambae ni mke wa sheby,...
Tukija huku ofisini kwa akina rose na mary wakiwa wapo kazini lakini mary bado mawazo yake yapo kwa sheby ambae ni boss wake
"ivi rose, uliishia wapi ile ishu mana umekuwa kimya muda sasa"
"labda niende sasa hivi, ila ujue mpenzi wako mgumu kama nini yani"
Aliongea rose lakini rose hua anamruka mwenzie, badala ya kumsaidia anakuwa anamtaka yeye,..
"fanya hivyo basi dada rose"
Mary na rose mpaka leo hawajui kama sheby kaoa, na pia hawajui kama huyo huyo rafiki yao ndio kaolewa na sheby,.. Rose aliamka na documents flani hivi za kumpelekea boss wake
Hodi ilipigwa na rose kisha sheby anaruhusu aingie,... Laaa haula rose alikuwa kavaa kisketi kifupi kilichomwacha boss wake mdomo wazi
"za saa hizi boss"
"salama tu"
"boss kuna kazi hizi hapa"
"mzee hayupo"
"katoka kidogo"
Rose alikuwa akiongea huku akijishika kifua chake kama vile anataka kuonyesha Matiti yake...
"ok lete nizifanyie kazi"
Sheby alizipokea zile documents kisha akawa anazikagua
"unaweza kwenda tu"
Lakini wakati huo hali ya sheby ilisha chenge kutokana maumbile alio yaona kwa rose...
"sawa boss"
Rose aliondoka kimadoido kwa kulitikisa kalio lake kana kwamba alikuwa akimtega boss wake, lakini sasa sheby aliooangalia vizuri katikati ya zile document alikutana na ujumbe...
"mmmhhh huu ni ujumbe wa nini"
Aliongea mwenyewe wakati akiwa anafungua, lakini wakati huo rose alikuwa hayupo keshaondoka...
"BOSS, I KNOW UNA MPENZI, BUT NAOKUOMBA UKUMBUKE KUWA WAPO TUANAOKUPENDA... NI MAPENZI TU, BINAFSI NAOGOPA KUKUTAMKIA NAKUOENDA MANA UTANIONA MALAYA... I LOVE MY BOSS, HATA KWA PENZI TU NITARIDHIKA MIE..... BY WAKO ROSE
"huyu mdada ana akili kweli"
Aliongea sheby baada ya kusoma ujumbe huo,... Sheby alishika simu na kupiga
"njoo ofisini"
Alimwita rose huku akiwa kaishika ile karatasi,... Lakini wakati rose anakuja mary nae alikuwa kwa nyuma nyuma kana kwamba kuna kitu alitaka kusikia kutoka kwa boss akimweleza rose, mary aliishia nyuma ya mlango na kusikiliza....
"yes boss"
"nani kakuambia uniandikie huu uchafu"
Rose alishtuka kwa kuona hio karatasi, na kushtuka huko kuliashiria sio yeye alioandika bali ni mary ili kujua boss atasema nini.. Lakini sasa rose baada ya kukataa kuwa huo haukuwa muandiko wake, ikabidi aunganishe na zakwake humo humo mana kajua huo ni muandiko wa mary na sio yeye...
"lakini boss hizo ni hisia zangu boss"
"hisia zako ndio uzilete ofisini kwangu"
"nisamehe kwa hilo, ila sijapata nafasi ya kuongea na wewe zaidi ya hapa"
"rose.... Staki ujinga na kazi, nataka kazi ifanyike maswala ya mapenzi kazini siyataki.. Naomba ufanye kazi"
"boss, mimi sina mpango wa kuharibu kazi na pia Sihitaji hata senti tano yako... Penzi tu"
"ebu toka bwana"
Sheby alikuwa mkali lakini maneno aliyapenda,... Mary kakimbilia ofisini lakini ameshajua kumbe rose alikuwa hafanyi chochote badala yake alikuwa akimtongoza, hivyo hata huo ujumbe alioandika mary kama vile rose, umemseidia rose, mana rose hajawahi kumtaamkia boss wake kuwa anampenda...
"dada rose boss kakuitia nini"
Mary aliuliza kama vile hajui kinachoendelea
"umefanya ujinga gani mary"
"kwani mi nimefanyaje"
"huu ujinga umeandika wa nini wakati wewe ndio unampenda"
"kwani we humpendi??"
"hata kama, lakini mimi niliacha hisia za kumpenda kwasababu ya wewe"
"eti eeee"
Mary aliitikia kwa dharau mana ananua kabisa anampenda....
"ndio"
"kumbe siku zote hizo nakutuma ukamwambie kumbe hata wewe unampenda, nyoooo yatakushinda"
"mary naomba ujieshim"
"wapi wewe unantongozea mpenzi wangu"
"kwani ni mpenzi wako... Kwani keshakukubalia"
Walikuwa wakirumbana kwa maneno ya hapa na pale,... Lakini kila. Mmoja keshamjua mwenzie
BAADA YA MIEZI MIWILI KUPITA
Masaa yalizidi kwenda, siku nazo zilikatika wiki nazo zilisogea na sasa ni miezi miwili baadae...
Ikiwa ni mida ya jioni hivi kama saa kumi kasoro, saidi aliingia ofisini kwa sheby na kumkuta akiwa anaangalia tv,..
"boss boss habari yako boss"
"safi tu vp mbona una haraka hivyo"
"boss, kuna kitu nataka nikuombe ndugu yangu"
"nini tena"
"gari yangu ipo gereji afu ndio nataka niende kwa wazazi wa yule mtoto"
"kwaio ulitakeje wewe"
"niseidie usafiri wako, yaani lisaa limoja tu"
Saidi alikuwa akiomba gari kwa ajili ya kwenda kwa wazazi wa zaituni,
"lakini si unajua saa hizi ni saa ngapi"
"yes i know, but sintochelewa mana najua ndio miguu yako iyo boss"
"ok poa chukuwa"
Saidi alitoka mbio na kwenda kuwasha gari ya boss wake mdogo kisha akaondoka,... Lakini ile saidi anaondoka tu huku nyuma simu ya sheby iliita,...
"haloo"
"mchumba wako anakwenda kumtambulisha mchumba wake kwa wazazi wake"
Simu ilikata ghafla katikati ya maongezi
"halooo, halooo.... Halooo"
Simu ikata kabisaaa, sheby akaipiga ile namba lakini ikawa haipatikani tena,..
"khaaaaa mchumba wangu nani anaenda kumtambulisha mchumba wake kwa wazazi wake"
Sheby aliniuloza sana bila kupata jibu, mana anajua fika kama ni zai hawezi kufanya hivyo,
"inaonekana huyu kakosea namba huyu"
Aliongea sheby huku akiiweka simu mezani na kuendelea kuangalia tv,..
Tukija huku mjini zaituni wa sheby akiwa kasimama mahari akiwa anamsubiri saidi ili waende kwa wazazi wake wakamjue mpenzi wake mpya mana anaamini wazazi wake wanataka mwanaume mwenye pesa na sio upendo bila pesa...
"piiiipiiii"
Ni sauti ya honi iliokuwa ikipenya katika maskio ya zaituni,.. Kwa kero ya honi hio ilimfanya zaituni kuangalia inapotoka,.... Laaa haula alikuwa ni Saidi alioiteka roho yake kwa muda mfupi na kumsahau mtu aliomfanya kuona kwa mara nyingine tena,..
"waaoooooo baby wangu kumbe ni wewe"
"yes ni mimi...."
"mbona leo una gari nyingine, ile nyingine ipo wapi"
"ipo gereji mke wangu"
Lakini sasa ile zaituni anaingia tu alikutana na picha ya sheby pale ndani... Ukumbuke kuwa gari hio ni gari ya sheby, sasa pale mbele ya dashboard kuna picha kubwa tu ya sheby, lakini alikuwa kavaa suti ya bei mbaya...
"uuuuuuwiiiiiiiiiii"
Zai alipiga kelele baada ya kuona hio picha
"nini tena baby? Umekalia nini"
Saidi alijua zai kuna kitu kakalia lakini sivyo
"huyu mtu ni nani hapa"
Aliuliza huku akiwa hana hata raha mana anamjua sura yake
"huyu hapa kwenye hii picha?"
"ndio"
"huyu ni boss wangu... Na hili gari ni lake"
"boss wako???"
"ndio,.. Kwani vipi unamjua"
"huyu.. Anauzaga viazi na mkokoteni"
Maneno hayo yalimchekesha sana saidi mpaka akapaliwa kwa kucheka
"sasa unacheka nini na wakati mimi nipo siriasi"
"yaani we na akili yako huyu ni mtu wa kuuza viazi kweli,.. Kama kusoma hujui hata picha huoni... Msuti wote huu auze viazi kweli"
Kweli zaituni akafikiria kazi ya sheby mpaka aje kununua hio suti ni miaka kumi mbele,
"aaahhhh basi wamefanana... Ama kweli duniani ni wawili wawili aisee"
"kwani we ulimwona wapi huyo"
"kule mtaani kweli kuna mtu mmoja anauza viazi kwa mkokoteni sasa nikajua ndio huyu"
"aahhhhhh wacha wewe... Mtoto wa tajiri huyo aje auze viazi ana kichaa"
"ok... Twende... Nyoosha hapo mbele kisha utakuta barabara ya vumbi nyooka nayo"
Ni maelekezo yaliotoka kwa zaituni baada ya kupanda gari mana Saidi hajui nyumbani kwa akina zaituni...
Gari ya sheby ilikuwa ni gari ya gharama kubwa sana aina ya VX LIMITED lilikuwa ni toleo jipya kabisa na gari yenyewe ilikuwa mpyaaa... Sasa wakati wanakaribia kufika mana nyumba yao ipo sehemu kama vile kuna uwanja hivi,... Mama zai kaona gari ya mkwe wake,...
"waooooo jamani mkwe huyoooo"
Mama anajua fika anaekuja ni sheby mana hio gari sio ngeni machoni mwake,... Mama aliingia ndani na kupangusa masofa yakae safi palikiwa na watoto aliwatoa toa pale, hata zainabu pacha wa zaituni alikuwe hata dada yao mkubwa alokuwepo,...
"mchumba wa zaituni huyo anakuja"
Zainabu kwa umbea nae akachungulia
"eeeee kweli.... Enheee dada kasema hamjui sasa ngoja amuone,.. Ni hensam haswa yaani zaituni kapata mume haswaaa"
"nakwambia natamani nimuone"
"nyie kueni na heshima.. Huyo ndie aliomseidia mdogo wenu mpaka sasa hivi anaona tena... Naomba mumpe heshma yake ni shemeji yenu huyo"
Mama aliongea hivyo huku akitoka nje kwenda kumpokea mkwe wake ambaye ni sheby....
Je? Mama atasema nini kama atakuwa sio sheby anaemjua... ?? Mana ukweli ni kwamba huyo ni saidi na sio sheby.... Na mama kajiandaa kwa ajilo ya kumpokea sheby?
Acha unzwazwa ndio ninii hivyoooInamaaan kwamba labda mtu akiw anatumia WhatsApp unwachaj
Mbona hivi jamaanUwiiiii
Hahahaaaaaa
Halafu Tamu kweli Jana nimekesha
Mkuu usiquote post ndefuInamaaan kwamba labda mtu akiw anatumia WhatsApp unwachaj
New babeee in kapukuDahhh meme tu humu ndo niko Mpweke
Sijawahi itwa bby wala Shem
But Season 6 nnayo
Hahahaaaaaa
Hahahaaaaaa



napita tu
♂️
♂️
♂️
♂️
![]()
![]()
![]()
![]()
Baby banaa
Baby malizana kwanza na tumosa afu nitakujibu![]()
![]()
Kwani hiZi Baby ni za kuitana tu ama!!!
Wanakera jamaan
Niko poaMko poa humu
1.shunie
2.makaveli
3.sakayo
4.lee
5.transcend
6.blessedhope
7.shululu
8.tumosa
9.husna muha
10.obe
11.shimba ya buyense
12.bitoz
Sana yaaniWanakera jamaan
Nawe piya usiku mwema mpendwaMuwe na ucku mwema wapendwa
Haka katabia sio kazuriUwiiiii