Hv ni font ferd au front page?!Aliyekaribu na shululu amuamshe.
Kajisahau na hii wikiend hata Font ferd bado hajaleta
Mapema mbonaMuwe na ucku mwema wapendwa
mapema sanaMuwe na ucku mwema wapendwa
Hongera kwa 289K mama mchungajiUBARIKIWE SANA SANA MUNGU WETU NI MWEMA ANAJUABHATA IDADI YA NYWELE ZETU HAKIKA HATA MAPITO YETU..MUNGU AENDELEE KUJUTIA NGUVU![]()
![]()
Amen*WANA HERI WALIO NA HEKIMA*
1Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya Bwana.
2Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote.
3Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.
Zaburi 119 :1-3
MUNGU AKUSAIDIE SANA MPENDWA!
Wote mmetekwa hkoMapema mbona
mapema sana
Wewe mr hajakuteka kweliWote mmetekwa hko
hatujatekwa sema mapema sanaWote mmetekwa hko
Uko sahihi.Hv ni font ferd au front page?!
Anaangalia mpiraWewe mr hajakuteka kweli
Mimi niko poa.Hey jaman niambien tulikuwa Zanzibar tunafuatilia kumuenz mnyawez aliyefanya tukawa na aman ila amani hiii inakwenda kupotea
Amen Amen Mungu atukuzweHongera kwa 289K mama mchungaji
Mama mchungaji vipi hali.. naona post saa 9, vipi mpendwa umetoboa nin au umekesha kwenhe maombi...Amen Amen Mungu atukuzwe

