Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani hiZi Baby ni za kuitana tu ama!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani hiZi Baby ni za kuitana tu ama!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na ile uwiii ungeiandika km hivyo tungeiona tu
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hahahaaaaaa
Halafu Tamu kweli Jana nimekesha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] uzwazwaAcha unzwazwa ndio ninii hivyooo
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mtu gani njoo umepata ndg hku
Oyaa nirushie na mie[emoji3] [emoji3] [emoji3] uzwazwa
Tena wa damu udugu wenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mtu gani njoo umepata ndg hku
Heshima yako mtu gani[emoji102]
Nakuona unajipendekeza kwa faida ujueNajipendekeza tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huo anaofanya ni uzwazwa anakoquotije story yote mtu mwenyewe wala sio msomaji[emoji3] [emoji3] [emoji3] uzwazwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] arosto mbaya sanaNakuona unajipendekeza kwa faida ujue
Mkirushiana na mie mnirushieOyaa nirushie na mie
Najua mama kazana hivyo hivyo babe babeeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] arosto mbaya sana
[emoji15] kumbe!Huo anaofanya ni uzwazwa anakoquotije story yote mtu mwenyewe wala sio msomaji
Liniii alisoma huyo yaan kaniuzi aisee huyo mwanaume aliyequote[emoji15] kumbe!
Na mnirushie pia [emoji4]Mkirushiana na mie mnirushie
DogoNdio nini kutokunitag Husna..
DadakeeMkirushiana na mie mnirushie
MfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuMuziki: Matendo ya Wema (Acts of Good)
.....siongelei matendo ya yule mwenye jina la Wema, mrembo wa Tanzania. Hakuna ubishi huyu ukiacha umaarufu wa 'dada' Mange hide my ID, Wema anabaki kuwa miss Tanzania wa ukweli sio kama wale mamiss wengine ambao walienda kule Mwanza kwa mjomba wangu wakawashangaza watu wa kule akiwemo mjomba wangu ambaye alisikika akisema kwa sauti miss Tz gani hana hata kalio (hakutamka kalio-alitamka jina sahihi la kalio, unazijua zile tacos za kimexana unakunywa na jamba juice?).
Naongelea wema wa matendo, usipende kujiumiza na kuumiza wengine, hisia wakati mwingine hutudanganya kama hakuna uhalisia. Unaweza ukajifananisha na rafiki wa anko wangu anaitwa Dr Shika ambaye yeye hana shida ya kununua nyumba inayopendeza zaidi kwa mia tisa tu. Ukimuona mtu ana njaa na una chakula usiache ashinde na njaa, hakuna bingwa wa njaa. Ukimuona mtu hatabasamu, wewe tabasamu na utamfanya awe na siku nzuri. Fanya matendo mema na siku zote utakumbukwa kwa uzuri na si matendo mabaya yanayokuharibia sifa yako nzuri.
Muziki sasa, ni Jumatatu leo na nikushukuru sana wewe Kapuku mheshimika (hata wewe unayeitwa baby na mpenzi wangu mwenyewe) kwa kuwepo hapa. Ujue nini, MF ni sehemu nzuri kwa sababu wewe upo hapa. LLL