Makapuku Forum

Makapuku Forum

....nitakuletea za msimu huu, mpya kabisa, sio za mwaka jana zimekomaa aunt yangu usijekuwa na roho ya korosho bure.

kama unataka zilizobanguliwa ungependa zile zilizobanguliwa kwa moto au mashine?
Kwa mashine binamu jaman kwa moto zitaniwasha mdomoni
 
....sure, umechagua vizuri maana zile huwa zinaleta kaharufu fulani kama umetafuna nguru.

Sasa ngoja niandae kiroba kabisa. Sasa kwa kuwa natokea mntwara, utapenda nikuletee gesi mgawane na BH? Maana yeye najua hapendi korosho
 
Mimi nataka korosho tuuu sitaki kingine jaman
 
c27cbacf75551bece416311fdaa8d573.jpg
 
...aunt, hivi bado unapenda korosho? Maana msimu ndo umeanza, hebu niambie ulitaka kisado au gunia zima. Nitaweza kukuletea nyingi tu ukitaka. Huu msimu mzuri sana nimeuza korosho nimenunua bodaboda tatu, nikija mjini nakuachia moja maana ile ya pili itabaki nyumbani kwa ajili ya wageni.
Kama hujui kuendeesha bodaboda nitakupeleka veta, sawa sawa
 
Kilichonifanya nikaamua kuacha ni kutokana na ule moshi nikihofia afya ya mapafu yangu. Ila ile stimu inayopatikana ndani yake hali ninayojiskia baada ya chemical reaction kutake place kwa head yangu, ni kitu ambacho hakielezeki..

Laiti kama kungekuwa na njia nyingine tofauti na haileti moshi basi ningevuta mpaka mwisho wa uhai wangu.. siku hizi nimebakia kuvuta mara moja moja, ninapojiskia yawezekana ikawa ni mara moja ndan ya miez miwili au mmoja.
Shemela ktk ubora wako
 
Muziki: Kuhama Makazi

...nimekaa hapa Container pub naangusha mbuyu, nishakata mibuyu minne hadi sasa na wa tano unatabasamu mbele yangu, unaonesha manjonjo yake ya ubaridi wenye jasho. Yeah, unashangaa ninaanza kuandika bila kukusalimia, bhasi ndo hivyo, siku ilikuwa nzuri sana tangu asubuhi, kuanzia bosi hadi karani na Kapuku mimi full smile utasema nimeshinda Biko- hela na kishtobe. Sasa kwanini imetokea badala ya kula vitu laini nimeamua kukata vitu vigumu, subiri kwanza nitakupa sababu.

Pale nilipopanga ninaheshimiana sana na baba mwenye nyumba na ana binti yake anatimiza amri ya kufanya mitihani ya fomu four. Huyu dent na wengine wadogo huniita anko Obe nami sina noma nagawa Hi naendelea na mishe zangu, sasa shida imekuja juzi anko wangu si kaja kutoka kanda ya kaskazini, yeye alisema anakuja na surprise na atafikia kwangu kwanza na ugeni wake (nina vyumba vitatu). Hataki aunt ajue, maana aunt ana black belt mambo ya judo na shotokan yamelala. Nikasema haina noma karibuni, mimi nitakuwa Nachingwea wikend hii navuna korosho. Kafika na ugeni wake ambao hataki aunt yangu aujue, ile kufika tu kamkuta binti wa fomu four anapika na haya mambo ya asili hayana mjita, binti kaingia kingi, mgeni alokuja na aunt kumbe kungfu zimelala kaliamsha dude, kajaza watu pale kwangu. Simu ya baba mwenye nyumba inanitaka nihame, anko hapatikani, kamuacha mgeni ndani nikirudi naenda kumchukua maelezo kabla sijahama makazi.

Muziki sasa, leo wikend, sieleweki hueleweki, ngoma droo na ujue nini Kapuku mheshimika, wewe ni mtu bora sana na ndiyo maana uko hapa. Mesejinyingine ya baba mwenye nyumba imeingia anasema anakuja hapa nilipo tuongee maana anajua kabisa mimi huwa sicheleweshi kodi na huwa tunaassistiana sana. dalili za kuendelea kuishi nilipo zinaonekana na nimemtext anko kuwa waziri kasema binti asiolewe bila kuwa na cheti cha fomu foo. Tumuache binti asome na atimize ndoto zake. Wikend njema
 
Asante Obe kwa music
 
Do not mistake surviving for thriving! They are not the same! One is based on holding on and the other is based upon letting go. In all of our lives at some point we do what we can to make it to the next day. This is survival. The struggle is real and I have witnessed it and can testify too. However there is a point when we must not be content with just surviving. There is more to our living than just that. When one becomes content at the survival mode, this is operating your personal power at a minimum. Let go of your fear of the unknown so you can take that chance to step into a thriving mode. Believe the Champion in You!
Good morning
 
Who you REALLY are is far more valuable than ANYONE you could ever pretend to be.

You devalue your worth when you mask your strengths and weaknesses.

Discovering and celebrating your authenticity is one of the BIGGEST power moves you can make in your life. Any other life you're living that's not your own is a fairytale. FIGHT to be the real you.

Let go of needing to fit into everything else at the cost of never fitting into your true self.

Be weird, be bold, but be anything but a facade. The real journey starts there.

The REAL you can do this!

Good Morning &
Great day!

Similar Discussions

Back
Top Bottom