Makapuku Forum

Makapuku Forum

...aunt, hivi bado unapenda korosho? Maana msimu ndo umeanza, hebu niambie ulitaka kisado au gunia zima. Nitaweza kukuletea nyingi tu ukitaka. Huu msimu mzuri sana nimeuza korosho nimenunua bodaboda tatu, nikija mjini nakuachia moja maana ile ya pili itabaki nyumbani kwa ajili ya wageni.
Kama hujui kuendeesha bodaboda nitakupeleka veta, sawa sawa
Sitaki mambo ya boda boda korosho kila siku kuja haziji ni korosho tuuu nimechoka na habari za korosho ambazo hazikuji
 
Kweli watu tupo tofauti ni ule moshi unajiskia raha hakuna duniani acha niendelee tu kupiga beer zangu
Kilichonifanya nikaamua kuacha ni kutokana na ule moshi nikihofia afya ya mapafu yangu. Ila ile stimu inayopatikana ndani yake hali ninayojiskia baada ya chemical reaction kutake place kwa head yangu, ni kitu ambacho hakielezeki..

Laiti kama kungekuwa na njia nyingine tofauti na haileti moshi basi ningevuta mpaka mwisho wa uhai wangu.. siku hizi nimebakia kuvuta mara moja moja, ninapojiskia yawezekana ikawa ni mara moja ndan ya miez miwili au mmoja.
 
....si ungeamua kuwa unatafuna zile mbegu zake, zina ladha nzuri sana na zinatibu kidaka tonge
 
Kilichonifanya nikaamua kuacha ni kutokana na ule moshi nikihofia afya ya mapafu yangu. Ila ile stimu inayopatikana ndani yake hali ninayojiskia baada ya chemical reaction kutake place kwa head yangu, ni kitu ambacho hakielezeki..

Laiti kama kungekuwa na njia nyingine tofauti na haileti moshi basi ningevuta mpaka mwisho wa uhai wangu.. siku hizi nimebakia kuvuta mara moja moja, ninapojiskia yawezekana ikawa ni mara moja ndan ya miez miwili au mmoja.
Nasikia nyie wavuta weed wapenzi wenu wanapenda eti kuna kitu cha ziada mnakuwa nacho ni kweli?
 
tenor.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom