BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Morning ShululuMorning KF family
Morning ShululuMorning KF family
MorningMorning my fellows
Morning much know Bless UMorning my fellows
Baba yetu na Mungu wetu tunakushukuru sana kwa wema wako ,fadhili zako na Ulinzi wako hata kutufikisha siku hii ya leo , Baba Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.
Tunakuomba, utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo maneno matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali
Tunaomba Utulinde siku ya leo Utukinge na ajali na hatari zote za mwili na za roho Ukawatume Malaika Walinzi wetu Kila tunapokuwa Baba na Utupe nguvu ya kukutumikia wewe.
Wabariki watu wote katika Familia zetu, Wasaidizi wetu, wanandoa ,Watoto, Ndugu Jamaa ,majirani na Marafiki Damu ya Yesu itufunike.
Walinde wenye mahitaji na shida mbalimbali Ponya Wagonjwa Fariji Wafiwa Wajane Wagane Yatima Wafungwa na wote Walioumizwa na kukata tamaa wape Tumaini Baba.
Walinde Wasafiri wote Majini ,Nchi kavu, Angani uwe Dereva Utufunike kwa Damu yako ya Thamani Tutokako na Tuendako
Bariki kazi zote za mikono yetu Ukaonekane kwetu katika Ajira Ujasiriamali Biashara tupate riziki halali na tukutumikie vyema.
Mungu wetu na Baba yetu tunakuomba utusaidie tuwe na Upendo wa kweli tukawe msaada kwa wenzetu kimwili na kiroho na tusipungukiwe Baba tuitende kazi yako bila kuchoka.
Asante Baba kwakuwa Unatupenda na Utatutendea sawasawa na Mapenzi yako.
.Tunaomba haya yote kwa Jina la Yesu Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen.
SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
barikiwa mama mchuchuMkushi hbr ya asubuhi,akina wawili wangu wanalia baada ya kuona hyo avatar ykoMorning shululu
Usijal bebeMmmh jamaan nyie si mpo humu mngeona tu niliowaita ujue hawapo kapuku woiii nisamehe jamaan
Morning mkuuMorning my fellows
Tanteee jomon, nimeshafika wanguhusna muba Shunie Tumosa Tantaw moneytalk
Piteni hapa msome simulizi ya German machine, wanawake wauaji(Mr x) n.k..
Story za bekaboy
Amina mama mchungaji na kwako piaBaba yetu na Mungu wetu tunakushukuru sana kwa wema wako ,fadhili zako na Ulinzi wako hata kutufikisha siku hii ya leo , Baba Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.

Mekumiss jaman