Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
....hizo namba hazipo kabisa na wala sielewi haya yametoka wapi! Kila siku huwa nakuambia mimi ni wewe tu na hakuna mwingine unayemjua.
Kwako nimefika, nimevuta kiti nimetulizana

....hizo namba hazipo kabisa na wala sielewi haya yametoka wapi! Kila siku huwa nakuambia mimi ni wewe tu na hakuna mwingine unayemjua.
Kwako nimefika, nimevuta kiti nimetulizana

Bwege lile na elimu yake ya kumeza..Ha ahahahaa, huyu mzee wa nongwa chenga sana yaani anadhani kwa kuwa yeye anajua kukariri basi kila mtu awe na uwezo wa kukariri, wengine tu hata birthday huwa zinakuja kwa kushtukiza
Bwege lile na elimu yake ya kumeza..
Mh kaka hiyo avatar!!
Nakuamini mia kwa mia ila naona kuna wafitini wanajitahidi kufanya yao ili tusiaminiane...kwani huniamini kabisa mpenzi wangu? Ujue tumetoka mbali, natamani ningekuwa najua kuhesabu na namba kama anko Magu lakini mpenzi wako mwenyewe naishia namba moja tu na ninachelewa kuitamka. na namba moja yenyewe ni wewe
Linini hilo?....lina tabia zote za mtu asiyejua na haishi kujidai anajua. Halijiamini kwa kuwa halijui linafanya nini na chochote kinachotoka mdomoni kwake hakieleweki kwa wanaofikiria, flip flopper
Nakuamini mia kwa mia ila naona kuna wafitini wanajitahidi kufanya yao ili tusiaminiane
...muulize kaka yako, mimi sina milioni 7 muda huuLinini hilo?
Hebu wapigie wimbo Wa sister p ule Wa" achana nao"...tena sana, yaani hawachoki wanok nok watu wa kupakazia. ujue nini, mimi na wewe hatujaribiwi na wala wasitake kutujibu hivyo
Muziki: Achana Nao
Nadhani baada ya muziki huu ndo kitafuata kipengele changu cha muziki, kwa sasa natekeleza ombi la mpenzi wangu ambaye tangu asubuhi marafiki zake wamekuwa wakinipiga majungu kwa mimi kuelezea namna navyomzimikia kiukweli husna muba mpenzi wangu mwenyewe mnayemjua humu.
makaveli10 na anko wangu Lyon Lee salamu nawasalimia na ninawatamkia kabisa kwa hisani ya mpenzi wangu tumeshakaa chini na kumaliza tofauti zetu zilizosababishwa na mimi kutoacha kuwaambia kuwa namba mbili na kuendelea ni nani ukiachana na nmba moja ambaye ni mpenzi wangu Husna.
Hebu burudikeni bila zengwe

Muziki: Happy Almost Friday
...yaani ikishakaribia tu Ijumaa kila kitu kinakwenda fasta na hapa nilipo najihisi kabisa akili nayo inakimbizana na nini nitafanya na nitafanya vipi. Kiufupi ili furahiday iwe mukide itabidi niombe assist kwa anko wangu ambaye kwa namna tulivyokaribu kiukoo hawezi kunitosa na huu ndo uzuri kwangu na kwake, wote tuna vibanzi machoni. hakuna anayemcheka mwenzake kilichobaki ni sisi kulindana kwa nguvu zote, mambo ya ukoo magumu sana kwa mtu wa nje kuyajua.
Nakusalimia Kapuku mheshimika na ama baada ya salamu mimi ni mzima wa siha njema na ninafurahi kukuona hapa maana bila mimi na wewe hapa hapafai hata kwa kulumangia. Nimekaa chini nasikiza miziki ya kitambo mara paap naona barua ya wakili ikisema kuna WCb sijui wameiba midomo ya bata bila ruhusa kunaksisisha muziki wao. Tusububir itakuwaje maana kipaji lazima kiheshimiwe, usione kidogo ukasema hakina maana.
Muziki sasa, baada ya kuona barua ya wakili huyo wa Msondo mara nikaona barua nyingine ya wakili wa anko, huyu wakili mimi kila siku nilikuwa namtilia mashaka maana mkao wake tu wa kitata-tata sana kuzidi hata gari lenyewe la Tata. Ananiandikia barua ya kiofisi halafu anaanza na shikamoo kaka Obe, dhumuni la kukuandikia ni kuwa anko wako anahitajika alipe pesa za kumchezea Khurusumu kwenye gesti ya chako ni chetu na hakulipa malipo waliyokubaliana. Makubaliano haya yalikuwa ni ya mdomo. Nikaikunja barua ile nikimsubiri anko anje twende tukamshitaki wakili feki, tukimwacha anaweza kufikisha maneno haya kwa aunt yangu
Baba yetu na Mungu wetu tunakushukuru sana kwa wema wako ,fadhili zako na Ulinzi wako hata kutufikisha siku hii ya leo , Baba Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.

AmenBaba yetu na Mungu wetu tunakushukuru sana kwa wema wako ,fadhili zako na Ulinzi wako hata kutufikisha siku hii ya leo , Baba Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.
Tunakuomba, utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo maneno matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali
Tunaomba Utulinde siku ya leo Utukinge na ajali na hatari zote za mwili na za roho Ukawatume Malaika Walinzi wetu Kila tunapokuwa Baba na Utupe nguvu ya kukutumikia wewe.
Wabariki watu wote katika Familia zetu, Wasaidizi wetu, wanandoa ,Watoto, Ndugu Jamaa ,majirani na Marafiki Damu ya Yesu itufunike.
Walinde wenye mahitaji na shida mbalimbali Ponya Wagonjwa Fariji Wafiwa Wajane Wagane Yatima Wafungwa na wote Walioumizwa na kukata tamaa wape Tumaini Baba.
Walinde Wasafiri wote Majini ,Nchi kavu, Angani uwe Dereva Utufunike kwa Damu yako ya Thamani Tutokako na Tuendako
Bariki kazi zote za mikono yetu Ukaonekane kwetu katika Ajira Ujasiriamali Biashara tupate riziki halali na tukutumikie vyema.
Mungu wetu na Baba yetu tunakuomba utusaidie tuwe na Upendo wa kweli tukawe msaada kwa wenzetu kimwili na kiroho na tusipungukiwe Baba tuitende kazi yako bila kuchoka.
Asante Baba kwakuwa Unatupenda na Utatutendea sawasawa na Mapenzi yako.
.Tunaomba haya yote kwa Jina la Yesu Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen.
SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
Amina mama na shukrani sanaBaba yetu na Mungu wetu tunakushukuru sana kwa wema wako ,fadhili zako na Ulinzi wako hata kutufikisha siku hii ya leo , Baba Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.