Nakusalimia sana kapuku uliyeamshwa na uzima kwa siku ya leo na hii salam inaenda sambamba na shukrani za dhati kwa anko wangu
Obe usiku wa jana kukulaza na kitu cha fally ipupa akipendacho
BlessedHope...ata mama d najua alienjoy japo bahati mbaya baada ya kuweka mziki anko wangu alinyanganywa simu na kibonge wake make kafanya usajili mpya na kujifanya mtu mwema kwake ndo kaamua lain yake wanayomsumbua wengi hasa wale wahamiaji haramu anipe mimi nipambane kwa niaba yake ....huyo ndo anko
Soon kitu UF chawajia