Makapuku Forum

Makapuku Forum

fd96de70123cc4b820a1274227d1417a.jpg
 
"Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake; Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.” Mithali 13:3.

Asante Mungu kwa Neno lako asubuhi ya leo, Neno lako linafundisha, Neno lako linaonya na Neno lako linakemea, asante kwa sababu umekuwa ukisema nasi mara nyingi sana kwa kupitia Neno lako, tusamehe pale tulipokaidi kulisikia Neno lako. Mara nyingi midomo yetu imetupoza sana na maneno yanayotoka kinywani hayarudi tena, tumeumiza wengi kwa maneno, tumekatisha wengi tamaa kwa maneno na wengine tumewavunja moyo. Mungu wa mbinguni nifundishe kunyamaza pale nisipostahili kusema neno, naomba useme wewe nisije nikakosea kwa maneno ya kinywa changu nikapata uharibifu.

AMEN
 
38be248d4b7a4d5263c58fa4f8decd0b.jpg

Asante mtumishi.
 
*Yohana 14:18-19*

18.Sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.
19 .Bado kitambo kidogo na ulimwengu haunioni tena; bali ninyi mnaniona. Na kwa sababu mimi ni hai, ninyi nanyi mtakuwa hai. Amen

NAKUTAKIA USIKU MWEMA UBARIKIWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom