Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Tubarikiwe sote mkuu ShululuAmen, Asante kwa sala ya asubuhi mama mchungaji, ubarikiwe sana
Bless UMorning all KF family
Asanteni Shululu na T wa Sakayo kwa udhaminiTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa transcend
Huu si moyo ni Mmoyo!! Over lbs400 si mchezo
Kama projectile motion vile..
Barid sio poa.. ndio maana ukiwa kwenye baridi misonsomolo isikae mbali..
Duh.. kama sio sahara vile
Ndio maana akaishia kufilisika.. dharau mbaya.
Cheki afande alivyosimama, hapo moyo wake kautia mfukoni