Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
SwtieeMondray kabadili jina
SwtieeMondray kabadili jina
Anatumia jina ganiMondray kabadili jina
GentriesAnatumia jina gani
Ahsante chief, vip hali!?Chief...welcome
Mama dSanteee![]()
Niko poa chiefAhsante chief, vip hali!?
Ngoja waje wathibitishe..Lyon Lee kaenda kumsaidia anko wangu katekwa mitaa ya kishumundu pale Moshi.
BH anasikiliza singeli akimaliza anaenda church
AbeehMama d
Lete dataNiko poa chief
Ubarikiwe mnooMtunzi ameishia hapo akiendelea na ile ile ya mwanzo ilipoishia tutaendelea pamoja wapenzi![]()
Asante kipenziUbarikiwe mnoo
Wasalimie roleza na mbaliziNiko mbeya kwa sasa kuna majukumu nayakamilisha
Asante shemejiSawa karibu utatukuta wenyeji
Dah aisee shemela*Wakati mimi na wewe Tunatamani muda Uchelewe sababu Mipango yetu ya Kidunia haijakaa sawa, wafu kaburini wanatamani Kiama ifike leo kwa kuchoka kukaa Kaburini. Ikiwa SISI tunatamani kufa kwa dhiki ya Maisha, wafu wanatamani warudi Duniani kumuabudu MWENYEZI MUNGU, kutokana kwa hali nzito iliyoko huko. Hiki ni kipindi cha KUMWABUDU MWENYEZI MUNGU ndugu yangu. kama umejaaliwa vocha mkumbushe na mwingine kuliko kifurushi kikaisha bure .*
Acha tu shemelaDah aisee shemela
Husna anatutesa jamanHusna njoo uendelee bana