Makapuku Forum

Makapuku Forum

...usisikize maneno ya anko wangu, mimi wa kuniteka ni wewe tu na si mwingine.
Halafu naona zilipendwa wako kaamua kukurudia kinguvu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huyo anko wako mfitini tu nishamzoea
Mpendwa banaa mi nishakuwa wako hao wengine imebaki story tu

I love you forever[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
...halafu anko nilijua haya mambo tumeyamaliza kwamba kilichotokea Kondoa kibaki Kondoa, kisitoke. Sasa ukikileta huku na hali unaona kuna jamaa anamzengea Husna wangu, si ndo utasababisha nipewe talaka hata hakujakuchwa na hatujacheza waichukucha
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Safari hii ukienda kondoa twende ote mpendwa
 
Back
Top Bottom