Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hakuna kurudi wala kulalaKhee hakuna kurudi kumbe ngoja nitoke niende nikachaj simu kidogo yaan naona na leo tunalala na giza

HapanaNiniiiii mbona mchochezi hivyo
Khee hakuna kurudi kumbe ngoja nitoke niende nikachaj simu kidogo yaan naona na leo tunalala na giza
My love
Pole shemela wangu kwa kukosa umemeBinamu hakuna umeme jaman
Za jioni shemela wangu wa ukweliBinamu hakuna umeme jaman
Siku nyingine huwa una lala na nini shemelaKhee hakuna kurudi kumbe ngoja nitoke niende nikachaj simu kidogo yaan naona na leo tunalala na giza

HayaHakuna kurudi wala kulala
Muziki: Huduma Kwa Mteja
...wala hata sijakosea kusema huduma kwa mteja, tunakosea sana. Ngoja kwanza, najua sijakusalimia na hii kwa sisi watu wa kastama relations tunasema hili ni kosa la kwanza kabla ya kupigwa bao. Haya nakusalimia Kapuku mwenzangu tunayeheshimiana sana, na unalijua hili. Leo niko kiprofesheno zaidi na kama ingekuwa amri yangu, ningewaajiri madalali wote ndo wawe wafanyakazi wa mbele, front officers katika maofisi haya, uhamiaji, utalii, mazingira, uwekezaji, viwanja vya ndege, elimu. yaani kila mahali, maana madalali hata kama hamjuani atafanya ujisikie mnafahamiana tangu mnasoma shule ya vidudu na mlifundishwa na mwalimu Ubuyu.
Sasa juzi nimekaa na anko wangu, katoka Kondoa- Ilangi kwenye semina, shughuli ilikuwa ya siku tatu tu, si unajua Magu kakaza vyuma lakini hajawazuia watu kukazana na ndicho kilichoendelea kwa anko, kaenda semina badala ya kuseminishwa yeye akaanza kumseminisha mseminishaji na semina imeisha wakaanza semina yao, wakaiita semenback. Kumuuliza anko ilikuwa vipi ukajisahau namna ile ukachukua maamuzi magumu, sababu aliyotoa ndo imenivuta kuandika leo. Smile, yeah, tabasamu, anko wangu kafurahishwa na tabasamu la mseminishaji na kilichotokea na kula hela yote ya semina na hata nilipomuomba aniassist akasema labda nisubiri Krisimasi.
Muziki sasa, nakupenda sana wewe Kapuku, uwepo wako hapa unalifanya jukwaa hili kuwa ni sehemu nzuri ya kutembelea shululu , Lyon Lee , husna muba , Tumosa , BlessedHope , Mndali ndanyelakakomu , mzeewakungoa Gentries , Mkushi wa kusi , Shunie , Transcend Nyagei , SHIMBA YA BUYENZE , Clkey , Sakayo , moneytalk , Tetramelyz , @shedede, Werrason , Mussolin5 , Bitoz , Jimena , eden kimario , Joseverest , dingimtoto na wewe ambaye sijakutaja jina lakini umuhimu wako hapa ni wa kipekee
bora kabisa
sijawahi kufumaniwaLa kwanza ...mara ya mwisho kufamaniwa ni lini?
Na taaSiku nyingine huwa una lala na nini shemela![]()
![]()
![]()
Makubwa haya...ndo siku nzuri ya kulala uchi bila net
Salama shemela za wewe apoZa jioni shemela wangu wa ukweli
Mfyuuuuuuuuu zakoMuziki: Huduma Kwa Mteja
...wala hata sijakosea kusema huduma kwa mteja, tunakosea sana. Ngoja kwanza, najua sijakusalimia na hii kwa sisi watu wa kastama relations tunasema hili ni kosa la kwanza kabla ya kupigwa bao. Haya nakusalimia Kapuku mwenzangu tunayeheshimiana sana, na unalijua hili. Leo niko kiprofesheno zaidi na kama ingekuwa amri yangu, ningewaajiri madalali wote ndo wawe wafanyakazi wa mbele, front officers katika maofisi haya, uhamiaji, utalii, mazingira, uwekezaji, viwanja vya ndege, elimu. yaani kila mahali, maana madalali hata kama hamjuani atafanya ujisikie mnafahamiana tangu mnasoma shule ya vidudu na mlifundishwa na mwalimu Ubuyu.
Sasa juzi nimekaa na anko wangu, katoka Kondoa- Ilangi kwenye semina, shughuli ilikuwa ya siku tatu tu, si unajua Magu kakaza vyuma lakini hajawazuia watu kukazana na ndicho kilichoendelea kwa anko, kaenda semina badala ya kuseminishwa yeye akaanza kumseminisha mseminishaji na semina imeisha wakaanza semina yao, wakaiita semenback. Kumuuliza anko ilikuwa vipi ukajisahau namna ile ukachukua maamuzi magumu, sababu aliyotoa ndo imenivuta kuandika leo. Smile, yeah, tabasamu, anko wangu kafurahishwa na tabasamu la mseminishaji na kilichotokea na kula hela yote ya semina na hata nilipomuomba aniassist akasema labda nisubiri Krisimasi.
Muziki sasa, nakupenda sana wewe Kapuku, uwepo wako hapa unalifanya jukwaa hili kuwa ni sehemu nzuri ya kutembelea shululu , Lyon Lee , husna muba , Tumosa , BlessedHope , Mndali ndanyelakakomu , mzeewakungoa Gentries , Mkushi wa kusi , Shunie , Transcend Nyagei , SHIMBA YA BUYENZE , Clkey , Sakayo , moneytalk , Tetramelyz , @shedede, Werrason , Mussolin5 , Bitoz , Jimena , eden kimario , Joseverest , dingimtoto na wewe ambaye sijakutaja jina lakini umuhimu wako hapa ni wa kipekee
Bhasi unachotaka kwa anko wangu utakipatasijawahi kufumaniwa
Asante shemelaPole shemela wangu kwa kukosa umeme
Madogo mwachie dMakubwa haya
Nzuri kabisa shemela wangu, za familia yakoSalama shemela za wewe apo