Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Niliambiwa kuna kesiiKheeeee
Niliambiwa kuna kesiiKheeeee
Maumivu ya nini tenaShem ndo unauguza maumivu au
Mh mbona mwenyewe sijijui kama nina kesi mimiNiliambiwa kuna kesii
Na wewe ukiwepo aukumbe ana MICHEPUKO?
Bhas ila niliambiwa umejiletaaMh mbona mwenyewe sijijui kama nina kesi mimi
Nilipo ishaanzaaa
Maraa paaaapuu kata naona mrembo mpotevu anapiga
Hahahahah tena ?Hivi sisi tumewakosea nini tanesco jaman♂️
♂️ umeme wakirudisha kidogo unakatwa yaan naombeni kuja kwenu kucheza
Uko wapi uko etiNilipo ishaanzaaa
Ahahahhh mwehu yule mbona hajakata sasa mpaka akamalizana na weweMaraa paaaapuu kata naona mrembo mpotevu anapiga
Acha tu simu mda si mrefu inajizima yaan nawachukia tanescoHahahahah tena ?
Nilimwambia ukikataa naenda kula anipikiee nyamaAhahahhh mwehu yule mbona hajakata sasa mpaka akamalizana na wewe
PoleeeAcha tu simu mda si mrefu inajizima yaan nawachukia tanesco
SanteeePoleee
AhahhahahahNilimwambia ukikataa naenda kula anipikiee nyama
Akajifikiria na ubaya hajaacha pesa ...akanyweaaAhahhahahah
![]()
![]()
![]()
Safari hii ukienda kondoa twende ote mpendwa