Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Zaburi 139
14 Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana,
15 Mifupa yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi pande za chini za nchi;
16 Macho yako yaliniona kabla sijakamilika; Chuoni mwako ziliandikwa zote pia, Siku zilizoamriwa kabla hazijawa bado.
17 Mungu, fikira zako zina thamani nyingi kwangu; Jinsi ilivyo kubwa jumla yake!
18 Kama ningezihesabu ni nyingi kuliko mchanga; Niamkapo nikali pamoja nawe.

Ameni mama twakupenda pia*TUOMBE*
Mwenyezi Mungu tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo. Tunasema Asante. Baba katika Jina la Yesu zidi kutupigania katika maisha yetu ya kila siku. Tunaomba usitupungukie, tukae nyuani mwako siku zote za maisha yetu.
Tumwagie mvua ya Baraka, achilia utayari katika Maombi,kusoma Neno,utii na kukufanyia Ibada kamili. Mungu bariki Taifa letu,Uchumi, Afya na kazi za Mikono yetu. Tunaomba haya machache na Mengine Mengi katika Jina la Mungu Baba,Mwana na Roho Mtakatifu Amina.
SIKU NJEMA WANA WA MUNGU ,NAWAPENDA SANA![]()
![]()

Morning too loveMorning my love
...hapana, sijawanunulia hakyanani, bili ikija kila mmoja atalipa alichokunywa na kula na sijaonja kuku waliyoagiza hivyo sitashiriki kuchangia

Ndio nimeona ASA hvSteve katupia kule
...sio kweli, nilipotea kidogo maana huyu aliyekula kuku alinisindikiza kwenda kukojoa

Npo mataa nashangaashangaa..kwani wewe uko wapi binamu yangu?