Morning shululuMorning all kapuku
Zaburi 139 Amen Amen nafurahi kukuona Imara..Ubarikiwe sana asante kwa huduma njemaView attachment 618946Asubuhi njema makapuku wote
TUOMBE*

Asante sana Shululu,pole jana tulikumiss sana Bless UTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa mechi ya simba na yanga

GoodMorning Shululu BlessUMorning all kapuku
Amen UbarikiweSiku zote sisi binadamu ni wakosaji mbele za Mungu ila anachopenda ni sisi kuyakubali makosa yetu na kutubu siku zote
Na kumwambia Mungu asante kwa kuniokoa na dhambi
Basi tusisahau kumshukuru Mungu siku zote kwa kuwa atulinda hata pale tunapokuwa hatujaomba kwake ulinzi
Ahsante na wewe mkuu shululu.View attachment 618946Asubuhi njema makapuku wote
Morning too mwifwaMorning shululu
Amen, Asante kwa neno mama mchungaji Ubarikiwe sanaZaburi 139
14 Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana,
15 Mifupa yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi pande za chini za nchi;
16 Macho yako yaliniona kabla sijakamilika; Chuoni mwako ziliandikwa zote pia, Siku zilizoamriwa kabla hazijawa bado.
17 Mungu, fikira zako zina thamani nyingi kwangu; Jinsi ilivyo kubwa jumla yake!
18 Kama ningezihesabu ni nyingi kuliko mchanga; Niamkapo nikali pamoja nawe.
Amen Amen nafurahi kukuona Imara..Ubarikiwe sana asante kwa huduma njema

Asante mama mchungaji*TUOMBE*
Mwenyezi Mungu tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo. Tunasema Asante. Baba katika Jina la Yesu zidi kutupigania katika maisha yetu ya kila siku. Tunaomba usitupungukie, tukae nyuani mwako siku zote za maisha yetu.
Tumwagie mvua ya Baraka, achilia utayari katika Maombi,kusoma Neno,utii na kukufanyia Ibada kamili. Mungu bariki Taifa letu,Uchumi, Afya na kazi za Mikono yetu. Tunaomba haya machache na Mengine Mengi katika Jina la Mungu Baba,Mwana na Roho Mtakatifu Amina.
SIKU NJEMA WANA WA MUNGU ,NAWAPENDA SANA![]()
![]()
Jana niliikuta nimekuwa busy asubuhi gafla tuAsante sana Shululu,pole jana tulikumiss sana Bless U![]()
Pamoja sana mkuu, nawe piaAhsante na wewe mkuu shululu.
wikiendi njema pia!!
Morning my loveMorning all kapuku