Si kweli binamu haupo upande wangu niambie basi nilipokukosea nikuombe msamaha mimi...kwa kweli sijui wanakutafuta nini hawa watu, inabidi ujipange tu maana hawana nia njema na wewe aunty yangu. Ila kaa ukijua siku zote mimi niko upande wako, lije jua ije mvua
Binamu santeeeee ila ukiingiza mambo za anko wako sipendi ujue
Si kweli binamu haupo upande wangu niambie basi nilipokukosea nikuombe msamaha mimi
Binamu santeeeee ila ukiingiza mambo za anko wako sipendi ujue
Asante binamu..kuanzia leo siweki tena mambo za anko wangu, nitaanza kuweka za anko wangu mdogo maana huyu mme wako hutaki na nimeacha kumsingizia
Aiseee...ya sita, halafu wameanza kuniletea za moto, maana sio kwa sukari ninayoifeel kwenye ulimi
Sanaa napendaga sana nyimbo zake hiyo na sangoma, umkomboti nakumbuka nilikua mdogo tulikua tuna mkanda wake aa videoAsante kwa kuupenda wimbo huu, Chaka Chaka aanabaki kuwa mwanamuziki mzuri ukanda wetu
Jamaaan...hujanikosea hata siku moja na mimi ndo nikuombe msamaha kwa kutokukukosea hata siku moja. Binadamu wote hukosea na ninaomba msamaha kwa kutokukukosea
Hzo siri za ndani binamu hazitolewi nje....kwa kkuwa umesema wewe basi mimi sibishi. Unamaanisha wewe uno safi kama kiwanja cha shule, no nakshi nakshi mrembo,
Sasa zile 1500 alizoneaga wapi?
Akijibu usiache kunitag
Nmesahau n nn mke mweeeNiniiii jamaan
Umeanza eeeeh nyanyua tena mdomo wako nikuonyeshe kaziZile elf 1500 alizihesabu kwa koloni lake usiniambie umesahau
Ahahahhhh kazi gani hiyoUmeanza eeeeh nyanyua tena mdomo wako nikuonyeshe kazi
Umeanza eeeeh nyanyua tena mdomo wako nikuonyeshe kazi
Ahahahhhh kazi gani hiyo
Hilo la vodaaMfyuuuuuuuuu
Apa naomba alikotekwa anko wako apotee kama ile saa ya nane make ukoo kurithi ni katiba ya ukoo mzima..kuanzia leo siweki tena mambo za anko wangu, nitaanza kuweka za anko wangu mdogo maana huyu mme wako hutaki na nimeacha kumsingizia
Umewanunulia wewe!!?...nawaangalia tu, niko bia ya tatu, na bado wanapiga taarabu, wakiweka kisanola nitakuja kuwaambia kinachoendelea. kwa sasa nipo na mzigo wa anko umekuja na rafiki yake wanakula kuku tu hapa wa kienyeji , kitu cha foil
Povuuuuukaaa...si bora mimi mizigo yangu hii, kuna Makapuku humu wana mizigo ya dhambi. Nikimalizana ana mizigo yangu, well, mzigo wangu ni mmoja tu, mingine ni ya anko.
Ahahahhh
Anataka kuonana tu ili mjuane we ni obe ye ni nyagei bila kupata nyama choma au smirnoff