Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Tuko poa za weweAje aje humu,mko poa?
Tuko poa za weweAje aje humu,mko poa?
Nilikuwa mjini nimeona, hata kibaha ilikuwepo tangu asubuhi, ila jioni hii ndio imenyesha kubwa zaidiHuku kwetu mvua toka asubuhi shemela
Zangu nzur tu, kwema?Tuko poa za wewe
Hata huku pia jioni imepiga na mpaka sasa nasikia kwa nje inapiga kidogoNilikuwa mjini nimeona, hata kibaha ilikuwepo tangu asubuhi, ila jioni hii ndio imenyesha kubwa zaidi
Kwema sana karibuZangu nzur tu, kwema?
Asanteh sana.Kwema sana karibu
Hahahaha kwan jf ikoje em screenshot tuone.Wakuu JF imekuaje mbona sioni option ya kuandika new post kile kialama cha kujumlisha ili niandike post mpya au nitume meseji sikioni
Itakuwa amelog outHahahaha kwan jf ikoje em screenshot tuone.
Update app yako mkuu mbona ipo sawaWakuu JF imekuaje mbona sioni option ya kuandika new post kile kialama cha kujumlisha ili niandike post mpya au nitume meseji sikioni
Ngoja nijaribu mkuu manake naona ina mabadiliko flani hata kwenye nyuzi za watu kuna alama alama naziona si za kawaidaUpdate app yako mkuu mbona ipo sawa
Hahaha poa nipo makiniUsisahau ujue waiba avatar sasa hivi wataitumia
Ex wangu mbona una furaha hivi leo
Na wewe ni mzima tangu tuachane ex wangu??Humu wazima kabisaa
Wakuu JF imekuaje mbona sioni option ya kuandika new post kile kialama cha kujumlisha ili niandike post mpya au nitume meseji sikioni
Hakika.Itakuwa amelog out
Hi joseverest, happy to see you even you visit makapuku. Am glad.!Hahaha poa nipo makini
Pamoja sana kiongozi na huku ni home piaHi joseverest, happy to see you even you visit makapuku. Am glad.!