makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,485
Husna bhana adabu hana kabisa, adabu yake iko umunyu umunyu..[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kadogo dogo
Husna bhana adabu hana kabisa, adabu yake iko umunyu umunyu..[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kadogo dogo
Huoooo!!![emoji120] [emoji120]Poleni jaman
Lee kazi anayo leo!!Mvua na baridi jamaan
Poleni!!KM HUKU kwetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukirudia nakutandika naona ww una utani sasa
Achante!!!Poyeee
Nawe pia ubarikiweUsiku mwema makapuku wote
[emoji2] [emoji2]...ukimuona mama yako huku na mvua inanyesha usiwe na presha, ana mwamvuli
[emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299]...ukimuona mama yako huku na mvua inanyesha usiwe na presha, ana mwamvuli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We nae vepee lione kwaanzaa mfyuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama nakuona mama huko ulipo [emoji4]
Afande marwaRishemeji rako rinareta mausumbufu tu
Rikirudia tena ritakura virungu vya ugoko( kwa sauti ya riafande)
Muziki: Huchoki Kusikiliza
Sitaki kusema sana leo, na nikishakusalimia tu naweka muziki ambao hauchoshi kusikiliza maana una jumbe nzuri na vyombo vimepangwa kwa ustadi mzuri. Sijaongelea sauti hapo bado, sauti ya studio ni tofauti na sauti ya mjomba wangu ambaye bila kuuma maneno ana sauti kama 700 na kila moja inaendana na nyumba zake nyingi. Inategemea muda huo atakuwa anaongea na nyumba ipi. Usishangae, huyo ndo mjomba wangu.
Sijaanza kukusalimia, nina salamu ndefu kama reli na kwa kuwa serikali inajipanga kujenga reli wanaiita SGR basi salamu yangu itakuwa fupi sana. reli ya mwendo kasi. Hebu ngoja kwanza, hivi hii reli imeshaanza? Maana anko wangu yule mdogo wa dar, sio huyu aliyeamua kuweka makazi Moshi mjini. Alisema reli ipo, ndo wanaijenga. Sijui kama ni kutaka kutudanganya au nini, mteja hajali masuala ya kiufundi, kama hii reli ni mafdanikio mbona hatuioni kwenye 'barabara' yake?!!
Muziki sasa, asante shululu kwa magazeti, asante mpenzi wangu husna muba kwa hadithi, asante Shunie aunty yangu ninayependa kukuona unafurahi kila wakati maana una moyo mvumilivu. Asante BlessedHope kwa sala za wakati wote, yaani unatuombea wote hadi makaveli10 na zaidi, asante wewe kapuku unayekuwa hapa maana bila wewe jukwaa hili si chochote lolote popote
...sasa hivi ni usiku sana kukusalimia. Nitakusalimia asubuhi nikishajiswaki
Huyu huyu wa b2k, au omarion super mario[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aje aje humu,mko poa?
Nahis hujalog in.. ila kama hujalog in mbona umeweza kukoment hapa.Wakuu JF imekuaje mbona sioni option ya kuandika new post kile kialama cha kujumlisha ili niandike post mpya au nitume meseji sikioni
Amelog x mwambie alog y..Itakuwa amelog out
Mc u mama mchungaji[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji259] [emoji259] [emoji255] [emoji257] [emoji253][emoji120] [emoji120]
HuoooooooHuooooooo
Mfalme wa kwanza wa china.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huooooooo
Engine hii ni ya diesel au petrol..!!?Wewe utakua umetoka kuchemshwa engine