Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,007
- 150,542
Kuku wanaliwa nini kwanUlichomaanisha wewe jaman
Kuku wanaliwa nini kwanUlichomaanisha wewe jaman
Binamu yenuNaniii
Hilo hilo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Povu la kuku au ?
Kumb unalifahamu hilo binamu eenh...kweli bhana, bado mbichi kabisa haujaiva, teketeke.
Umetulia tuli, umejituliza hutaki bughudha kama sidiria ya mtawa
BinamuNani na nan
Sitaki binamu mm jama hivi kwa nini unanifanyia hivi...jana tu, nilikuwa upande wako kabisa na nikawabishia waliosema kuwa kuku huletewi, nikawaambia sio kuku tu, utaletewa sato na sangara. wakapata wivu wakajua utanigaia japo supu ya sato na chapati
Kamatiaa mto shemHilo hilo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hawezi kuumia akakule kwa muuza chips kidali...lol! Unamuweka kwenye wakati mgumu sana, alikuwa ashajiandaa kula japo kidali lakini sasa ameishia kupata mawazo tu na ataugua asazi kwa kuumia moyo wa kukosa kuku
La utawa auKumb unalifahamu hilo binamu eenh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juice ya tendeWachaaa shemu uko vzuri kama juis ya tende
Mm sitaki tena kuku naona wabaya wangu wameshaingiza fitina zaoKuku wanaliwa nini kwan
Pambana na hali yako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kamatiaa mto shem
Mtawa ndioLa utawa au
Khaa...!!!!Niachee mm jamaniii nijiliee raha na husna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa...!!!!
Raha hizo vipiii?!Kula rahaaaaa
Najua wapi mie mpendwa wa binamuRaha hizo vipiii?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...mvua ni dalili nzuri, nakuja tufyatue maana chakula cha uhakika kipo na elimu bure
Lakini hajataja jina banaa[emoji23] [emoji23]Binamu huyo wa kununa najua ni mimi huyo hivi binamu huyu anko wako ndio yeye tu kila siku kweli jaman
We neng'eneka tu utakosa bara na pwani,,,afu ujue sikuwaelewa walipoongea na mama mchuchu eti kuleee. Huyu anko wangu yaani anataka kunipa ugonjwa wa kipandauso