Makapuku Forum

Makapuku Forum

5164bc5e57ebbdf8fed013b3acf2e175.jpg
 

1WATHESALONIKE 5
[23]Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo.
[24]Yeye ni mwaminifu ambaye awaita, naye atafanya.


NAWAPENDA SANA MBARIKIWE
 
Tuombe


Baba Mungu asante kwa siku njema ya leo

Asante kwa ulinzi wako umetulinda na hila zote za Adui

Mungu siku ya leo tunajikabidhi mikononi mwako Jehova ukatuongoze kwa kila jambo

Tunawaombea wagonjwa Mungu ukawaponye

Wenye shida na mapito ya aina zote Mungu ukawashindie watu watu wako

Tubariki Mungu kwa kila tutakacho fanya
Wanafunzi wakumbuke baba ktk masomo yao
Tumeomba ni ktk Jina la Yesu Kristo Amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom