Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Makavelioooooooooh igweeeee![]()
![]()
afu nimemmisi maka ujue
Makavelioooooooooh igweeeee![]()
![]()
afu nimemmisi maka ujue
Mpambane na hali zenu mtoto bado mbichi mie mniacheee...sikumgawa kwa kupenda, nilishinikizwa. Wewe na kaka yako mlitaka kukataa kunisaidia kwenye lile koloni jipya
PepoHivi umeandika ninii![]()
Nitakuletea siku Utakayompeleka obe kigmboni kwenye maombi
![]()
![]()
![]()
NaniiiAniacheeeee
Povu la kuku au ?Mpambane na hali zenu mtoto bado mbichi mie mniacheee
Lini ulikuwa upande wangu binamu wewe...wewe tena, ningeshangaa kama usingeandika maneno ya kunikwaza. Mimi niko upande wako lakini wewe hata siku moja hujawahi kuunifanya nikatabasamu
Mfyuuu zenuDawa ya moto ni moto ndo ilikua kauli ya bro mm nilikua taki mbumbumbu
Mnione tu vizuriNa mm namuonaaa
...kweli bhana, bado mbichi kabisa haujaiva, teketeke.Mpambane na hali zenu mtoto bado mbichi mie mniacheee
Nani na nanMfyuuu zenu
Picha njo uchukue siitaki na tumosa apambane na hali yake akanunue kwa muuza chipsi kidali...jamani, hah, pole aunty yangu. ila si bado una ile picha? Au na yenyewe niijie nikaipeleke nilipompleka kuku?
Afu ulimuahidi Tumosa finyango, itakuwaje sasa?
Lini ulikuwa upande wangu binamu wewe
Picha njo uchukue siitaki na tumosa apambane na hali yake akanunue kwa muuza chipsi kidali
Ndo umebipuu au . ...kama namba new huna pambana na shunie...kweli bhana, bado mbichi kabisa haujaiva, teketeke.
Umetulia tuli, umejituliza hutaki bughudha kama sidiria ya mtawa
Wachaaa shemu uko vzuri kama juis ya tendePicha njo uchukue siitaki na tumosa apambane na hali yake akanunue kwa muuza chipsi kidali
Hivi yuko api![]()
![]()
afu nimemmisi maka ujue
Ulichomaanisha wewe jamanWaliwe nini shem
Sawa sawaPepo
...tutaenda wote mama, usisikilize maneno ya wabaya wetu. Mimi Kigamboni nikafate nini, samaki pale feri







