Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Vipiiiii jamaan na me nataka kupajua nikuje huko[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Vipiiiii jamaan na me nataka kupajua nikuje huko[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji1][emoji1][emoji1] kutambaa kunanihusu nini mimiYa kutambaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Niacheee na mm niko na mama mkubwa
Ili ugundue nini lakinVipiiiii jamaan na me nataka kupajua nikuje huko
Nipajue tu mimiIli ugundue nini lakin
Niachee mm jamaniii nijiliee raha na husna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Najua kwanii??[emoji1][emoji1][emoji1] kutambaa kunanihusu nini mimi
Wewe nshajua unataka kuwapa wengine fidiaNipajue tu mimi
Kula rahaaaaaNiachee mm jamaniii nijiliee raha na husna
Na mie sijuiNajua kwanii??
Jaman si nimeuliza tuWewe nshajua unataka kuwapa wengine fidia
...mvua ni dalili nzuri, nakuja tufyatue maana chakula cha uhakika kipo na elimu bureNi nzuri muheshimiwa kuna kamvuamvua kataamu [emoji4]
Binamu huyo wa kununa najua ni mimi huyo hivi binamu huyu anko wako ndio yeye tu kila siku kweli jamanMuziki: Umuhimu wa Uongo
Najua muda umeenda na sina hakika kama unatamani kusikia nikikusalimia maana wengine kusalimiwa usiku huwa wanaona haifai. Yes, mjomba wangu kwa mfano, yeye kata kata hakubali umsalimie usiku, ukimsalimia anakuja na story za ajabu kweli, nyingine zina ukweli lakini kuziamini ni ngumu sana na ndiyo maana akaja na msemo wake kuwa uongo ni muhimu pale ukweli usipoaminika.
Halafu humu mnaweza kudhani namsingizia mjomba wangu, la, huyu ni damu yetu kabisa na inawezekana nilisingiziwa baba lakini sio mjomba. Ukitaka nuna lakini ndo tulivyo, tunatofautiana kidogo sana na anko wangu, ambaye naye pia kama alivyo mdogo wake wana tabia moja inayofanana. Nikiisema hapa unaweza kudhani ni kweli kumbe ni uongo na aunty yangu ndo kwanza katangaza kutonisaidia kwa lolote kisa tu ninasema ukweli na uongo hataki kuusikia.
Muziki sasa. Ujue leo najishangaa sana yaani najiona nimeandika mambo ya maana sana utasema niko shuleni vile, au wewe mpenzi msomaji unaonaje? sijauliza swali, nimetoa maelezo. Nakupenda sana Kapuku mwenzangu na uwepo wako hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri ya kuwepo. Karibu sana Plata O Plomo , next time mjomba wangu nitakuonesha na usije macho juu, nina mpenzi humu tunayependana sana. Na mimi na mjomba wangu hatujui kupigana, ukisalandia tunakushusha mshipa. Wengine hawwawezi kukutahadharisha, usiseme sijakwambia
Ndio na mto wanguKula rahaaaaa
Hahahaaa umeanza kama mama mchuchu kuleee
Ndo maaana anko obe kuku alitumwa akuletee akamgawa kimaraJaman si nimeuliza tu
Na bado kufwa hufi cha moto utakiona,,,afu ujue sikuwaelewa walipoongea na mama mchuchu eti kuleee. Huyu anko wangu yaani anataka kunipa ugonjwa wa kipandauso