Umeamkaje mpendwaMy moneytalk nakusalimia
Mpendwa nimeamka poa kwa kweli kukuona tu roho inatulia tuliUmeamkaje mpendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]Mpendwa nimeamka poa kwa kweli kukuona tu roho inatulia tuli
Jaman my mpendwa mbona wanicheka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Vip wewe mbona mikono kichwani utafikiri umeporwa kipochi chenye mkopo wa vicoba!![emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Jun [emoji524]Mwambie MUNGU maneno haya
"Ee MUNGU muumba wangu na kimbilio langu, nashukuru kwa kunilinda usiku kucha na kuniamsha mzima asubuhi hii ya leo.Sina cha kukulipa ila nasema asante sana.Nakuomba uniongoze katika siku hii ya leo,ukamwage baraka zako tele ukanipe kibali machoni pa kila mtu uniepushe na kila maovu nipe kushinda kwa kila jambo Unapowazuru wengine usinipite kwani wewe ndiye kimbilio langu na msaada wangu wakati wa shida.AMENI"
>Asubuhi njema.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]My moneytalk nakusalimia
Wewe ndo anko ananimbiaga kuwa ulikua mbaya wa binamu yake[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mpendwa nimeamka poa kwa kweli kukuona tu roho inatulia tuli
Nini lakini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mimii?jamani mbona kuoneana hukuWewe ndo anko ananimbiaga kuwa ulikua mbaya wa binamu yake
Shemela za wewe, umeadimika sanaNa kwako pia shemela
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ahsante na kwako pia ndg!
Pamoja sana mkuuAsante mkuu
[emoji23] [emoji23] mimi nimeamshwa na upako kwa money[emoji15] [emoji15] [emoji15] mimii?jamani mbona kuoneana huku