Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
NimefurahiJaman my mpendwa mbona wanicheka
Furaha yako ndo faraja yanguNimefurahi
Mihangaiko tu shem wangu ya maishaShemela za wewe, umeadimika sana
Hahahaaa wewe mtu![]()
mimi nimeamshwa na upako kwa money
Mimi huyu mpendwaHahahaaa wewe mtu
Haya shemela, maisha kwanza huku ni sehemu ya kupumzishia akiliMihangaiko tu shem wangu ya maisha
Nzuri mdauHabari za saa hizi wadau
Mishemishe zinaendajeNzuri mdau
Njema mdau karibu sn mkuu!Habari za saa hizi wadau
Asante.. nimerudi nyumbaniNjema mdau karibu sn mkuu!
Jambo jema bhana nyumban ni nyumban tuAsante.. nimerudi nyumbani
We mchekee tu ....hacheleweshi huyoo
Si useme tu unachotaka ili akupeJaman my mpendwa mbona wanicheka
Hahaha mshikajiiiiooooooohWe mchekee tu ....hacheleweshi huyoo
Kitamu tu ndo nachotakaSi useme tu unachotaka ili akupe