Makapuku Forum

*[emoji524]TUOMBE*
Tunakushukuru Mungu kwa kutufikisha siku hii ya leo. Tunaomba Moyo wa shukrani tuje mbele zako kwa sadaka,sifa na shukrani. Tunamkataa shetani na kazi zake zote kwa Moto wa Roho Mtakatifu . Tunaombea wote wenye mahitaji mbalimbali. Kutana na haja ya kila mmoja mmoja pamoja na familia zetu . Ni katika Jina la Yesu tumeomba tukiamini na kushukuru Amina.

SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji120]
 
Hahahhah umenikumbusha dada alikua pasua kichwa
 
Amina mama kipenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…