Makapuku Forum

Makapuku Forum

Zaburi 136

1 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

11 Aliwatoa Waisraeli katikati yao(Wamisri); Kwa maana fadhili zake ni za milele.

12 Kwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

13 Yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

14 Akawavusha Israeli katikati yake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

15 Akamwangusha Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

SIKU NJEMA MBARIKIWE
 
Muziki: Wapi Noah Zetu

Kwanza hapa nina furaha sana maana ninaanza kwa kukusalimia Kapuku wewe mheshimika na kisha nakujulisha tu siku yangu ilikuwa nzuri, sijui wewe siku yako ilikuwaje lakini ile kukuona tu hapa basi najua kabisa uko poa.

Hivi mnakumbuka, sijui kama niliwaambia, baada ya anko kuninunulia simu aliitwa kimyakimya kwenye ile kamati ya makinikia na mnavyomjua anko tena badala ya kumanikia yeye akachikichia na CM. Nisikuchoshe, alichosema ni kuwa kila mmoja atapata Noah nami nikajichagulia kabisa rangi ya hudhurungi na nikaenda veta kusomea udereva na cheti nikapata nina C tatu. Sasa ninamtafuta anielekeze je Noah yangu nitaipataje?

Muziki sasa, juma la kicongo linaendelea. Mniwie radhi Niko busy natengeneza uwanja wa kupaki Noah yangu.

Yes umenikumbusha mbali sanasana asante Obe ubarikiwe
 
Zaburi 136

1 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

11 Aliwatoa Waisraeli katikati yao(Wamisri); Kwa maana fadhili zake ni za milele.

12 Kwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

13 Yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

14 Akawavusha Israeli katikati yake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

15 Akamwangusha Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

SIKU NJEMA MBARIKIWE
Amina mama
 
0431797d88b8e33e104c6259a10c897b.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom