Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
1964 - Yvette Nipar, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani anazaliwa
1971 - Snoop Dogg, mwanamuziki kutoka Marekani anazaliwa
1971 - Snoop Dogg, mwanamuziki kutoka Marekani anazaliwa
Wako vizuriDre,spoon,2pac na jay z nawakubali mno
Amina, na kwako piaTuombe
Bwana Yesu asante kwa ljumaa njema ya leo.
Asante kwa ulinzi wako kwetu Mungu Mkuu
Umetulinda Jehova
Bwana wa majeshi
Ni wengi walitamani kuiona hii siku lakini hawakuweza kufika.
Tunaomba Toba kwa yote tuliyokukosea..ututurehemu twakusihi.
Baba siku ya leo ni siku ambayo wengi wanakuwa ktk maombi
Mungu ninakuomba ktk Jina la Yesu Kristo Maombi yetu Bwana yakawe ni manukato mazuri mbele zako.
Kumbuka wenye shida mbali mbali
Taabu na mateso na uchungu wa kila aina EeeMungu ukawakumbuke
Angalia ndoa ambazo hazina amani wala furaha
Mungu warudishie upendo wao wa kwanza
Ambao hawajakujua wewe Mungu wa kweli katika Yesu Kristo Bwana ukawaokoe.
Kumbuka wamama wanaohitaji Watoto
Bwana ukafungue matumbo yao.
Wanafunzi, wagonjwa ,Yatima ,wagane na wajane
Wakumbuke Yesu
Nimeomba haya nikiamini yamekuwa ni katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth
Amina aaaa.!!!!!.
SIKU NJEMA WAPENDWA
Karibu mshikajiLEO KATIKA HISTORIA
Happy bday snop1971 - Snoop Dogg, mwanamuziki kutoka Marekani anazaliwa
RIP2011 - Muammar al-Gaddafi, rais wa Libya (1969-2011) alifariki
AsanteNa hapo ndio mwisho kwa leo
By husobe
Morning, umeamkajeGood morning
Morning mkuuDre,spoon,2pac na jay z nawakubali mno
Morning dia ..nimeamka poa kabisa ofu kwakoMorning, umeamkaje