Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]TUOMBE:
UHIMIDIWE JEHOVA MFALME.
Ahsante kwa ulinzi wako kwa masaa yote.
Tubariki Bwana.
Leo tukawe mikononi mwako.
Poza wauguao, Fariji wenye huzuni, Leta Umoja Upendo na Amani kwa watu wako.
Malaika wako na wakafanye kituo kwa kila mtu , tuingiapo na tutokapo.
Naomba ni katika Jina la Yesu Amina

SIKU NJEMA KWENU WOTE[emoji120]
Na kwako pia mpendwa
 
Back
Top Bottom