Makapuku Forum

Makapuku Forum

01b990fec802eaf0cc6bdc73dd3d3c8e.jpg
 
Tangazo la Mpendwa Wangu. Limelipiwa

Unakumbuka wakati wa kipengele cha historia, mpendwa wangu ambaye pia ni mpenzi wangu husna muba aliomba nyimbo ya Lucky Dube, mfalme wa reggae barani africa, basi ninakatisha matangazo ya moja kwa moja ili kupata tangazo la mpendwa wangu ambalo limelipiwa na utalisikiza bure bin free


Waooo...nilizani ungesahau mpenzi wangu mwenyewe jamani
Roho yangu Mimi huyooo

Asante my love
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom