makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
Gar mbovu inavutwa na nzima chief, uliona wapi gari mbov ikavutwa na mbovu nyenzake..Bhas mtafutie mhenga mwenzake
Mzee kwa kijana ndio kunoga..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gar mbovu inavutwa na nzima chief, uliona wapi gari mbov ikavutwa na mbovu nyenzake..Bhas mtafutie mhenga mwenzake
Usiku mwema shunie, fikisha salam zangu kwa lee..[emoji4][emoji4] shem naona leo unakesha na wazee wa night binamu obe na maka me nalala jaman
Juve na man u wameshanikera..[emoji35] [emoji35] [emoji35]Leo data hazizimwiiii
Sema namalizia mpira hapa
Wamechana mkeka nini??Juve na man u wameshanikera..[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mchaw man u.. juve kapataWamechana mkeka nini??
Amina mama[emoji524]Isayaya 62:6 Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msiwe na kimya
ULINZI WA MUNGU BABA WATUZINGIRA..TUSHUKURU[emoji120]
Bless U son[emoji120]Amina mama
Thanks alout mamyBless U son[emoji120]
Amen [emoji7] [emoji7]Thanks alout mamy
Mama asante sana hakika kazi ya bwana unayo share na sisi inatufanya kila siku kuianza na baraka[emoji524]TUOMBE:
UHIMIDIWE JEHOVA MFALME.
Ahsante kwa ulinzi wako kwa masaa yote.
Tubariki Bwana.
Leo tukawe mikononi mwako.
Poza wauguao, Fariji wenye huzuni, Leta Umoja Upendo na Amani kwa watu wako.
Malaika wako na wakafanye kituo kwa kila mtu , tuingiapo na tutokapo.
Naomba ni katika Jina la Yesu Amina
SIKU NJEMA KWENU WOTE[emoji120]
Tumshukuru Mungu wetu kwa kutupa hii pumzi,ni bure hakika tunapaswa kushukuru na kulitukuza jina lake takatifu[emoji120]Mama asante sana hakika kazi ya bwana unayo share na sisi inatufanya kila siku kuianza na baraka
Amen, Asante kwa neno mama mchungaji Ubarikiwe sana[emoji524]TUOMBE:
UHIMIDIWE JEHOVA MFALME.
Ahsante kwa ulinzi wako kwa masaa yote.
Tubariki Bwana.
Leo tukawe mikononi mwako.
Poza wauguao, Fariji wenye huzuni, Leta Umoja Upendo na Amani kwa watu wako.
Malaika wako na wakafanye kituo kwa kila mtu , tuingiapo na tutokapo.
Naomba ni katika Jina la Yesu Amina
SIKU NJEMA KWENU WOTE[emoji120]