Uke wenza utakuuwa, naona unanibinafsishia mama mchungaji.Mchumba wako mama mchuchu amesema tujifunze kunyamaza
[emoji40] [emoji40] nimenuna ila sikujibu
Morning bibieMorning my pple
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Bora aniite mpendwa wangu nitaitika but sio wewe
Hilo jina ni lako humu kila mtu halitaki
uko poaMorning bibie
Niko poa mpendwa, sijui wewe, ndugu yangu tetra hajambo!?uko poa
Chief maka hope your doing wellNawe ntake radhi vile vile...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchumba wako mama mchuchu amesema tujifunze kunyamaza
[emoji40] [emoji40] nimenuna ila sikujibu
Morning dearMorning my pple
Vipi usalama upo ?Morning bibie
hajambo kabisaNiko poa mpendwa, sijui wewe, ndugu yangu tetra hajambo!?
[emoji87]Niko poa mpendwa, sijui wewe, ndugu yangu tetra hajambo!?
Mpe hi..hajambo kabisa
Nin sasa lyon!?[emoji87]
Kuna maneno apo imekuwa ngumu kumezaNin sasa lyon!?
UpoVipi usalama upo ?
Shunie wetu akuje tu
Hofu yako kijana, watu wazima sie, hayo kwetu nimaneno ya upendo na ukarimu, kwenu vijana ndio yanakuwa ngumu kumezaKuna maneno apo imekuwa ngumu kumeza
Nashukuru kwamba hujanielewa ...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hofu yako kijana, watu wazima sie, hayo kwetu nimaneno ya upendo na ukarimu, kwenu vijana ndio yanakuwa ngumu kumeza
Sifi ng'ooUke wenza utakuuwa, naona unanibinafsishia mama mchungaji.