Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaman mbona hiviii nimesema bada ya kumaliza mambo ya ulimwengu mwingine nililala mie kwahiyo nahisi alishika simu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaman mbona hiviii nimesema bada ya kumaliza mambo ya ulimwengu mwingine nililala mie kwahiyo nahisi alishika simu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sema mwanangu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alternative zote ni sawaHiv jana hakuwa shunie alikuwa baba d, au leo ndio sio shunie ni lee..
Nafikiri tu kwa maandishi.
Shem [emoji848][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alternative zote ni sawa
Binamu naomba orugambo
Hivi we binamu ombi langu toka jana hulioni auuuu maksudi tuMuziki: Kesho Ni FutuhiDay
Sio mbaya kukumbushana Makapuku wenzangu, ndo sifa kubwa ya muungwana maana muungwana ni vitendo sio maneno. Na baada ya kukukumbusha kuwa kesho, inshallah ni siku ya Futuhi basi nakusalimia mtu wangu wa nguvu maana bila wewe hapa Jukwaani hapana lolote la msingi, uwepo wako unapafanya hapa pawe ni mahala pa msingi, sekondari na chuo na ada ni simu tu yenye uwezo wa intaneti bila kusahau bundle na kwa sisi tunaotegemea WiFi za majirani basi huwa hadi tunadownload kwa gharama zao. Wakimbumburuka basi tunabadili mbinu.
Leo nilikuwa na mchana mzuri sana, maana kwanza niliongea na mtu wangu mwenyewe ambaye bila yeye ninabaki kuwa pumba tu na wala sio Lipumba ambaye anawasalimia sana muda huu. Nilikuwa busy kiaina lakini viporo vyote nimevimaliza na jua likiwaka tena basi litakalokuja nitalikabili. unajua inabidi kuishi kwa michongo, usiwe na fomula ya kukabili masuala. Ni vizuri ukawa na mbinu za kimedani na kontijensia ili usishtukizwe. Mjomba wangu kwa mfano, yeye lazima awe na side chick ili likitokea la kutokea basi asiwe na kwa kuponea. Huyu mjomba, mdogo wake shahidi maana wanafanana na mimi ni wa ukoo wao. Hatutofautiani.
Muziki sasa, juma la Kicongo hili. Burudika Kapuku mwenzangu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Yaan wewe unapiga debe ili binamu obe amwache mama basi mama atakuwa nao wote wawili
Niwekee jaman binamuUtakujia muda si mrefu. sorry jana ilikuwa ni siku ya makaveli10 , alikuwa kwenye siku yake, alidhamini magazeti na muziki akawa mhisani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naishiga kumpa likes tu jaman bora baba d alivyotoka kapuku hamjui tu nilivyofurahi namtafutia captain morgan nimpe babe wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kufukua makaburi kipaji acha nimwachie mpendwa wa binamu nimeshindwa mie
Yaan kama nakuona huko ulipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahah shem wewe hapanaHivi kumbe hizi mambo ni kweli [emoji134] hivi nitaanzaje kukuita baba
Chief mm asubh napitia nikajuaa shunie kakuoza mama yake kumbe bangi zao za usikuMie hata sijui kwa kweli.. ila kama huwwz kuniita baba, nipo tayar kuikatisha mission ya husna muba.
Na yeye ana siku kumbeUtakujia muda si mrefu. sorry jana ilikuwa ni siku ya makaveli10 , alikuwa kwenye siku yake, alidhamini magazeti na muziki akawa mhisani
Niko na mcutee wako [emoji41] [emoji41] [emoji41]Yaan kama nakuona huko ulipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakula kwa machoNiko na mcutee wako [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Jaman shem [emoji134]Hahahahah shem wewe hapana