Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Halotel
Halotel
Naona jana alimpa doz kubwa lee mpaka akasahau jinsia yake.., kwa jinsi alivyofanywa akajiona yeye ndio shunie..![]()
![]()
![]()






niacheni jamaanMwambie anitake radhi...Na yeye ana siku kumbe
Asante kwa mziki anko
Mapenzi upofuEwaaa kanyigo missenyi nilijua tu utatia neno
Si ndo maana jana ukadhaminiNaanzaje mie
Tangazo la Mpendwa Wangu. Limelipiwa
Unakumbuka wakati wa kipengele cha historia, mpendwa wangu ambaye pia ni mpenzi wangu husna muba aliomba nyimbo ya Lucky Dube, mfalme wa reggae barani africa, basi ninakatisha matangazo ya moja kwa moja ili kupata tangazo la mpendwa wangu ambalo limelipiwa na utalisikiza bure bin free
Naona jana alimpa doz kubwa lee mpaka akasahau jinsia yake.., kwa jinsi alivyofanywa akajiona yeye ndio shunie..![]()
![]()
![]()

Shem wewe usinigeuzie kibao ujueSi ndo maana jana ukadhamini
Kweli kabuuusaaMwambie anitake radhi...
Muziki wa Mdhamini: Promota Hatukinao
Unamkumbuka yule promota aliyeimbwa na Wagosi wa Kaya, basi usimlinganishe na mdhamini wa Orugambo, huyu ni aunty yangu ninayempenda maana anapendwa na mjomba wangu pedeshee mnayemjua. Hebu tuburudike pamoja
Mdhaminii yupoShem wewe usinigeuzie kibao ujue
Hapo sawa namwamini mdhamini wanguMdhaminii yupo

Muziki: Kesho Ni FutuhiDay
Sio mbaya kukumbushana Makapuku wenzangu, ndo sifa kubwa ya muungwana maana muungwana ni vitendo sio maneno. Na baada ya kukukumbusha kuwa kesho, inshallah ni siku ya Futuhi basi nakusalimia mtu wangu wa nguvu maana bila wewe hapa Jukwaani hapana lolote la msingi, uwepo wako unapafanya hapa pawe ni mahala pa msingi, sekondari na chuo na ada ni simu tu yenye uwezo wa intaneti bila kusahau bundle na kwa sisi tunaotegemea WiFi za majirani basi huwa hadi tunadownload kwa gharama zao. Wakimbumburuka basi tunabadili mbinu.
Leo nilikuwa na mchana mzuri sana, maana kwanza niliongea na mtu wangu mwenyewe ambaye bila yeye ninabaki kuwa pumba tu na wala sio Lipumba ambaye anawasalimia sana muda huu. Nilikuwa busy kiaina lakini viporo vyote nimevimaliza na jua likiwaka tena basi litakalokuja nitalikabili. unajua inabidi kuishi kwa michongo, usiwe na fomula ya kukabili masuala. Ni vizuri ukawa na mbinu za kimedani na kontijensia ili usishtukizwe. Mjomba wangu kwa mfano, yeye lazima awe na side chick ili likitokea la kutokea basi asiwe na kwa kuponea. Huyu mjomba, mdogo wake shahidi maana wanafanana na mimi ni wa ukoo wao. Hatutofautiani.
Muziki sasa, juma la Kicongo hili. Burudika Kapuku mwenzangu
Dah!! Naona heshima inacheza picha za x sasa..Utakujia muda si mrefu. sorry jana ilikuwa ni siku ya makaveli10 , alikuwa kwenye siku yake, alidhamini magazeti na muziki akawa mhisani
Leo kwan hujamucall akajaa lakinHapo sawa namwamini mdhamini wangu![]()
Ahsante mopao, hapa sina budi kwenda kuoga maana nilikuwa nayarudi, sangulo oo, sanguloo, mkuu umeikosha na kuisuza nafs yangu, nilikuwa nayarud nakumbukia enzi za wali maharage na kuoga mapema.

Utani jamaani wa kapukuDah!! Naona heshima inacheza picha za x sasa..
Ntake radhi mku