makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,438
- 108,461
Salama tu mpendwa.Mmeshindaje wapendwa
Salama tu mpendwa.Mmeshindaje wapendwa
Hiv jana hakuwa shunie alikuwa baba d, au leo ndio sio shunie ni lee..Mkuu shangaa na wewe
Binamu naomba orugambo...mnanitafuta sababu nyie, niache kusema nimwagwe?
Mama ebu ukuje kwanza jamanSijui.. muulize kwanza bimkubwa wako, mie nipo nipo tuu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anavyotaka mie nataka hivyo hivyo..[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ntafanyaje sasa, wakat unajua kesi ya shunie kwangu ni kama kesi ya ngedere kwa nyani..[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiniambia mchanga mtamu, nalamba.[emoji23]
Au mchanga ni chumvi, natia kwenye mboga [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa mke mweeeJaman mbona hiviii nimesema bada ya kumaliza mambo ya ulimwengu mwingine nililala mie kwahiyo nahisi alishika simu
Wenye team yao wamekuja radika umeona eenhChama letu hili..[emoji17] [emoji17] [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina jinsi.. kesi ya shunie kwangu haikosi upendeleo..
Hiv jana hukuwa wewe au leo ndio sio wewe..Me sielewi jaman
Kwani kulitokea ninii jana makaHiv jana hakuwa shunie alikuwa baba d, au leo ndio sio shunie ni lee..
Nafikiri tu kwa maandishi.
Mie sitaki..Sijaelewa jaman ila binamu hawezi kumuacha mama yaan hawezi halaf maka kama anataka kuwa baba akae tu watakuwa baba zangu wawili
Leo mimi shunie jaman makaHiv jana hukuwa wewe au leo ndio sio wewe..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] ulipokuwa unakukuruka na baba d cmu yko ulimuachia nani kwani
Achelew yule, mbagala charambe yote wanamjua yee ni naniHahahaha itabid nijichunge mkuu
Usithubutu kusema.....mnanitafuta sababu nyie, niache kusema nimwagwe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi siact ujue lazima nikatae maka tofauti na hawa wa bongo movie mapenzi ya jukwaani
Haya, mjanja yeye..Ewaaaaaa maka ndio mana tunaelewana ujue huyu ni baba d tu kafanya hayo mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maka jamanMie sitaki..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sipati picha[emoji23] [emoji23] [emoji23] soon ntakiwa nakuja navifungu, mzee wa upako.