Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
SawaNitag wangu
SawaNitag wangu
Tupo na kapuku yetuu..Shwali kabisa mkuu naona mnasongesha jukwaa kama kawaida
We mbona uliukatalia kwa bango kubwa..Uke wenza upoooo haukwepeki ujue
Tunae humu bi tukinao wangu..Kajina ka tukinao huwaga kananichekesha sana
Tunae humu bi tukinao wangu..
Ila wewe usimuite hvyo, atakubonyeza makonzi.
Usiniambie huniamini me sio arsenal tena ningekuwa shabiki wa arsenal ningepumzika kushabikia arsenal mpaka yule babu wenger aondoke
Mie sina tatzo na wewe, nakuamin kuliko imani yenyewe inavyojiamin.. kitendo cha kusema hukuw wewe tu sina haja ya kufukua makaburiUjue me nakukubali sana ukisema chochote nakubali maka

Namjua, lakin Penye chumvi ntakupa maji, nikupunguzie ukali.Shem huyo mengine ataedit ujue

Tunae humu bi tukinao wangu..
Ila wewe usimuite hvyo, atakubonyeza makonzi.
Sijui.. muulize kwanza bimkubwa wako, mie nipo nipo tuu..Eeeenh![]()
mama angu mimi jaman kwahiyo maka kawa baba au

Sasa ntafanyaje sasa, wakat unajua kesi ya shunie kwangu ni kama kesi ya ngedere kwa nyani..Kesi unaisukumizia kwangu

Jaman mbona hiviii nimesema bada ya kumaliza mambo ya ulimwengu mwingine nililala mie kwahiyo nahisi alishika simu![]()
![]()
![]()
kwa hyo aliefanya ule ushenga wa jana cio ww na aliingiaje wakati umesema mlikuwa ulimwengu mwingine
Akiniambia mchanga mtamu, nalamba.Na wewe tena akisema dar ni bukoba utakubar??
Make yeye mchanga ukimwambia unalambwa analamba


Usiku si mnakuwa wazungu






halaf ebu fanya lile swala basi la atcl ujue nilikua nawaza hapa shemSina jinsi.. kesi ya shunie kwangu haikosi upendeleo..Hahahha makaveli anaruka
Mimi siact ujue lazima nikatae maka tofauti na hawa wa bongo movie mapenzi ya jukwaaniWe mbona uliukatalia kwa bango kubwa..
EwaaaaaaaHahahha hakuna namna ntakuamini kwa sasa.
Ewaaaaaa maka ndio mana tunaelewana ujue huyu ni baba d tu kafanya hayo mamboMie sina tatzo na wewe, nakuamin kuliko imani yenyewe inavyojiamin.. kitendo cha kusema hukuw wewe tu sina haja ya kufukua makaburi
![]()
![]()
![]()