Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kapuku raha sanaNi tena mshikajiii
Kapuku raha sanaNi tena mshikajiii
Kesho kuamka asubuhiMbonaaa mapemaaa
Makini zaid ya joh!Huhuhuuu binamu uko makini
Na bibi mwenyewe anachekesha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
jina lenye linachekesha kweli

kwani humjui
Na kigamboni kunamsubiriBinamu yako anaenda zenji na mpendwa wake
Hapana maneno ya wahenga hayo![]()
wewe wasema
Sanaaaa long live kapukuKapuku raha sana
Muziki: Ulikuwa Hujui
Ninakusalimia kwa heshima kubwa Kapuku mheshimika, na kisha baada ya kukusalimia (nikiamini kabisa umerudisha salamu, maana salamu sio Salum kusalimiana) ninakuambia mimi nina adabu sana na kwa kuonesha adabu zangu sitakuuliza siku yako ilikuwaje. Nikiuliza ukajibu nami nikauliza kwanini siku yako ilikuwa ilivyokuwa utanichukia na utaona sina adabu. Toto baya kwako zuri kwa mama yake.
Kiukweli huwa ninajisikia amani sana ninapokuwa humu maana hakuna ninachokosa, well, vipo navyokosa, lakini kama ni maarifa tu, nayapata sana na hapo sijaongelea burudani maana KF kuna kila kitu na siwasifii maana nami ni timu ya Makapuku, wanaoingia na kutoka wanazidiwa na wanaokuja na kuweka makazi.
Muziki sasa, nilisema hili ni wiki la Kicongo na sina namna maana ndivyo nilivyotangaza na nikaweka bango ambalo anko wangu kajisahau kulibandika akaondoka nalo kwenda kutekwa. na nikitaja alikoelekea itakuwa msala humu na sitaki litokee hilo maana wewe Kapuku unayenisoma sasa unaifanya sehemu hii kuwa nzuri na ya kuvutia.
Piga kelele....Woooooooozaaaaaaa
Kwa kweli na kubaya zaid hatujui what is next huko tuendako, wacha tufurahie hii fursa n neema aliyotupa allah pasina kumchukiza..Acha nichekeee tu hakuna namna ingine life's too short maka
Kweli makaWote ni madomo bwaku...![]()
![]()

halaf unaweza mfananisha binamu obe na julio hivi
WoyooooooooooooPiga kelele....![]()
![]()
![]()
Mambo yetu watoto wa uswaz, tunadab mpaka singeli
Kwa kweli na kubaya zaid hatujui what is next huko tuendako, wacha tufurahie hii fursa n neema aliyotupa allah pasina kumchukiza..
kweli kabisaNangoyo...Asanteeee binamu yangu![]()
mambo ya bunooooooo mambo ya eloko oyo acha nimchezee baba d nitarudi
Basi kwa heshima na taadhima naomba hii iwe special kwake.. mwambie makaveli anampenda kichizHalaf binamu hiyo nyimbo ya fally eloko oyo mama yangu anaipenda mama mchuchu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Wakina idibia wenyewe..Cha kina p square
Yule demu ilibidi nianze mie ujue, we ukaniambia unampenda zaid.. nikaona kutokana we mwanangu yaani, katka top 3 ya wanangu umo, nikakuachia..Usinikumbusheee watamu wale

Original cha zamani maka mambo hayo eloko oyo acha buana mambo ya kuzungusha bunooo kama we tena bunoo gumu upambane na hali yako tu shem wangu nisamehe tu jamanNangoyo...
Ananikosha sana mzee wa bakadja. Ana kitu kinaitwa orijinal, hatar hicho shunie.