Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,630
![]()
![]()
hv ile safari ya kigamboni iliishia wapi?!
...aliendaga mjomba wangu, umesahau si nilikuambia dear? Sisi tutaenda nchi za ng'ambo aka Zanzibar
![]()
![]()
hv ile safari ya kigamboni iliishia wapi?!
Yupi eti...aliendaga mjomba wangu, umesahau si nilikuambia dear? Sisi tutaenda nchi za ng'ambo aka Zanzibar
Ndio ninavyoona insta wa kimuita hilo jina jina la yule bibi wa kimakonde wa bibi bomba![]()
![]()
wee sema kweli?!
Nataka na mm wimbo wangu orugambo jamaan ole wako binamu usiniwekee nakushtakiiiMuziki wa Mhisani
Nimerejea tena na nimekuja kwa sababu moja kubwa, udhamini umefikia kiwango cha uhisani, yaani makaveli10 kadhamini magazeti na muziki. Hii ni level nyingine yaani katoka kuwa pedeshee hadi Bill Gates.
Na wimbo aliouhisani ni Mockingbird, wimbo mzuri kabisa kusikiza na kama unapenda mashairi yaliyopangika bila zile fakafaka za vijana nyie basi huu ndo utaupenda. Ukizitaka zile sikiza The Storm
Hajambo sana mama yaan sana mama ukuje binamu obe anakusalimia ukuje kuangalia ile nyimbo ya fally unayoipenda ukaniambia nikutumie...kwanza, hajambo lakini? Fikisha salamu zangu kwake
Shem niache ujue
Nimewaza mengi halaf kwa nini haujaniambia habari ulizopewa au ndio mana uliniambia kimafumbo pale ujue nilikua sijapata taarifaUmewaza nini kwanza ?
Vipi uko mambo swadaktaa?
Jamanii ...mshaongeza ??Shem niache ujue
Ipoooo tutaenda![]()
![]()
hv ile safari ya kigamboni iliishia wapi?!
...aliendaga mjomba wangu, umesahau si nilikuambia dear? Sisi tutaenda nchi za ng'ambo aka Zanzibar






danganya toto
Akikujibu niiteYupi eti
Shem usinambie bomu limelipuliwaaNimewaza mengi halaf kwa nini haujaniambia habari ulizopewa au ndio mana uliniambia kimafumbo pale ujue nilikua sijapata taarifa
Tuongeze tena uje uniambie mambo ya utani ebu niacheJamanii ...mshaongeza ??
Mbona hunipi maupdatesAiseee![]()
...aliendaga mjomba wangu, umesahau si nilikuambia dear? Sisi tutaenda nchi za ng'ambo aka Zanzibar

Nimeambiwa nafanyaje sasaShem usinambie bomu limelipuliwaa
Mm sisemii

Kwan mdhaminiii si unayee ukoTuongeze tena uje uniambie mambo ya utani ebu niache
Ndio ninavyoona insta wa kimuita hilo jina jina la yule bibi wa kimakonde wa bibi bomba
watu bana!
Nimeambiwa nafanyaje sasa![]()
niiume sikiooo ....maraaaa paaaauuuuuseeee