Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Mkuu nakushauri ulale tu.Hahahaa
Mi nadhani kwa mtoto wa kiume sio sawa mkuu labda itakua ukichukua hormones nyingi toka kwa mama![]()
![]()
Maana naona hata kutongoza hujui
Mkuu nakushauri ulale tu.Hahahaa
Mi nadhani kwa mtoto wa kiume sio sawa mkuu labda itakua ukichukua hormones nyingi toka kwa mama![]()
![]()
Ibrahim msuya atakuwa anatoka KIHURIOHaeleweki hata kidogo
Aende zake huko mi wala sina haja na mbaba mpenda sifaLe bebez nasikia anamwinda jimena wetu, kwa herufi kubwa nasema sitakubali
Nlishaingia kabla chief si unajua tena hakuna mlango hapa, kwema lakin?Ingia
Uko sawa niah, mambo mtani!Unamaanisha mafahari au?
Marhabaaa, babu yenu karudi toka mbali kaleta yake madafu nimemailza kuyanywa sasa nikaona niwacheck sababu hamuaminiki. Wengine hawazingatii elimu yaani lugha na miiko yake na lafudhi na vina na mikongosio yake.Shikamoo Grandma
NimekuPM c unajua notification shidaUsiku mwema my family.
Be blessed
Haya ulaleWakuu nawatakia usiku mwema.
Maana kwa jinsi ninavyorembua hapa kama ningekuwa nimekaa na mke wa mtu angejua labda namtongoza
************************
BibibibibiibiUko sawa niah, mambo mtani!
Asante bibi.Haya ulale
Hehehehe kazi anayoanawachunga nzi ili waanze nao kutengeneza asali kama nyuki
Hee! Kumbe natoa tongozo hapaMkuu nakushauri ulale tu.
Maana naona hata kutongoza hujui
Hata niki lala sina deni kwako nimekubeba vyakutoshaLakini kama ipo ipo tu
Nimeona. Tayari.NimekuPM c unajua notification shida
...........
Mkuu niajez..... Karibu sanaHodiiii humu
Atakipiga picha na kurusha kila sikuAende zake huko mi wala sina haja na mbaba mpenda sifa