Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Acha kuishi kwa ndoto...... Make it realNakuona tu.
Acha kuishi kwa ndoto...... Make it realNakuona tu.
Jimena aende tu hana faida yeyote hapa.Le bebez nasikia anamwinda jimena wetu, kwa herufi kubwa nasema sitakubali
Ohooo mbele ya jimena, hata akiniambia nisile naachaNaona umeaza kunikandia kwasababu ya jimena.
Kweli mwanamke ananguvu.
Achana nae fake pastorKwa iyo kakanusha makusudi
Sijamuona muda saaaaana
Siku si nyingi utakuwa Zoba.Ohooo mbele ya jimena, hata akiniambia nisile naacha
Kucheki bado ngapi? Manake nimeshaanza kusinziaYap. At least sukuma hata 100
Acha ujinga, jimena!Le bebez nasikia anamwinda jimena wetu, kwa herufi kubwa nasema sitakubali
Acha uongo weweOhooo chezea jimena wewe.
Sawa na nini?Kitambi bila elimu ni sawa na...
Umechapia ni "Mbebez"Le bebez nasikia anamwinda jimena wetu, kwa herufi kubwa nasema sitakubali
Mkuu chakula gani ichoOhooo mbele ya jimena, hata akiniambia nisile naacha

Kumbe alilala?? Usingizi wake mzuri manake mpaka kuchat anachatNi katika harakati za kukuamsha tu.
Misifazz![]()
![]()
Le bichwazzzzzzz
....................
anawachunga nzi ili waanze nao kutengeneza asali kama nyukiAchana nae fake pastor
Toka lini mtu akawa mchungaji wa nzi??
MsuyaSawa na nini?
Mie mgeni ungujaHaonekani niseme je sasa dear dadake